Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Mkurugenzi wa Jackson Group Kelvin Twissa amesema mkataba huo wa kutafuta masoko utasaidia Yanga kupata pesa zaidi kwa kupata Wadhamini wengiMarketing inakuwa kwenye nini hasa?naomba ufafanuzi
hapo sawaMkurugenzi wa Jackson Group Kelvin Twissa amesema mkataba huo wa kutafuta masoko utasaidia Yanga kupata pesa zaidi kwa kupata Wadhamini wengi
Na Jackson Group wenyewe wanafaidikaje? Au watakua wanapata % fulani kila wanapoleta wadhaminiMkurugenzi wa Jackson Group Kelvin Twissa amesema mkataba huo wa kutafuta masoko utasaidia Yanga kupata pesa zaidi kwa kupata Wadhamini wengi
Well, ninavyofahamu kuna namna watakuwa wanafanikiwa na hii ni kwa mujibu wa terms and conditions walizowekeana kwenye mkatabaNa Jackson Group wenyewe wanafaidikaje? Au watakua wanapata % fulani kila wanapoleta wadhamini
Anacheza namba ngapiCalvin Twisa Mzee wa Vodacom, Tigo, Airtel na Sport Pesa! Huyu jamaa ni kichwa kwenye marketing.
Hongera sana Yanga, salamu za pole kwa makolo.
Kolo ni kolo tu, kwahiyo unadhani timu ya mpira ni wachezaji tu?Anacheza namba ngapi
Nyie nyani wa pori la Utopolo hata mkishindwa kuwatieni mimba wake zenu mtaisingizia Simba,mkishindwa kuchamba vizuri mkabaki na vinyesi kwenye chupi zenu mtaisingizia Simba.Calvin Twisa Mzee wa Vodacom, Tigo, Airtel na Sport Pesa! Huyu jamaa ni kichwa kwenye marketing.
Hongera sana Yanga, salamu za pole kwa makolo.
Ndiyo au nyie mnaimba taarab hapo?Kolo ni kolo tu, kwahiyo unadhani timu ya mpira ni wachezaji tu?
Swali la kijinga la msimu wa mpya wa ligiAnacheza namba ngapi
Daktari wa timu ni mchezaji? mhasibu wa timu je? Msemaji wa timu naye ni mchezaji? Wafanya usafi je? KAULI ZA MTU HUSEMA KIWANGO CHA AKILI ALICHONACHO
Duh umbumbumbu ni mzigo mzitoAnacheza namba ngapi
MekumissSafi sana, hapo wamefanya vzr, ni wakati sasa hata vilabu vingine viwe na agency wakuwafanyia marketing
Relax, huu mchezo haihitaji hasira, Haji Manara anasema nyie wote ni hamnazo ispokuwa Sunday Manara na Mzee JK tu,na mkadhihirisha hilo kwa kumuunga mkono kwenye maujinga yake. Hapo kwenye capital letters inawahusu nyie.Daktari wa timu ni mchezaji? mhasibu wa timu je? Msemaji wa timu naye ni mchezaji? Wafanya usafi je? KAULI ZA MTU HUSEMA KIWANGO CHA AKILI ALICHONACHO
Umesahau kauli ya Rage kuwa wanasimba wote ni mambumbumbu?Relax, huu mchezo haihitaji hasira, Haji Manara anasema nyie wote ni hamnazo ispokuwa Sunday Manara na Mzee JK tu,na mkadhihirisha hilo kwa kumuunga mkono kwenye maujinga yake. Hapo kwenye capital letters inawahusu nyie.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app