Klabu ya Yanga SC Yaingia Mkataba na Jackson Group

Klabu ya Yanga SC Yaingia Mkataba na Jackson Group

Joseverest

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Posts
52,812
Reaction score
71,392
Klabu ya Yanga leo Agosti 19, 2022 imetangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Marketing ambayo ipo chini ya mtaalamu wa Marketing nchini KELVIN TWISA.

Mkataba huo kati ya Johnson Group na Yanga SC unalenga kuinufaisha klabu hiyo kwa kufungua fursa zaidi kwa wawekezaji na wadhamini.

“Kazi yetu ni Kuiuza Yanga kwa Partners ambao wanaelewa thamani ya Yanga, kuleta biashara kwa Yanga, kutafuta wadhamini zaidi ya waliopo, kuongeza thamani ya Yanga kwa kutimiza ahadi ambazo wanapata wale wadhamini wao,” CEO Jackson Group, Kelvin Twisa.

Source: Azam TV
 
Na Jackson Group wenyewe wanafaidikaje? Au watakua wanapata % fulani kila wanapoleta wadhamini
Well, ninavyofahamu kuna namna watakuwa wanafanikiwa na hii ni kwa mujibu wa terms and conditions walizowekeana kwenye mkataba
 
Calvin Twisa Mzee wa Vodacom, Tigo, Airtel na Sport Pesa! Huyu jamaa ni kichwa kwenye marketing.

Hongera sana Yanga, salamu za pole kwa makolo.
Nyie nyani wa pori la Utopolo hata mkishindwa kuwatieni mimba wake zenu mtaisingizia Simba,mkishindwa kuchamba vizuri mkabaki na vinyesi kwenye chupi zenu mtaisingizia Simba.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Pia imemtangaza Maulidi Kitenge kuwa afisa Habari na kujitenga na yule wa mchongo aliyefungiwa na Tff
 
Daktari wa timu ni mchezaji? mhasibu wa timu je? Msemaji wa timu naye ni mchezaji? Wafanya usafi je? KAULI ZA MTU HUSEMA KIWANGO CHA AKILI ALICHONACHO
Relax, huu mchezo haihitaji hasira, Haji Manara anasema nyie wote ni hamnazo ispokuwa Sunday Manara na Mzee JK tu,na mkadhihirisha hilo kwa kumuunga mkono kwenye maujinga yake. Hapo kwenye capital letters inawahusu nyie.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Relax, huu mchezo haihitaji hasira, Haji Manara anasema nyie wote ni hamnazo ispokuwa Sunday Manara na Mzee JK tu,na mkadhihirisha hilo kwa kumuunga mkono kwenye maujinga yake. Hapo kwenye capital letters inawahusu nyie.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Umesahau kauli ya Rage kuwa wanasimba wote ni mambumbumbu?
 
Back
Top Bottom