Klabu ya Yanga SC Yaingia Mkataba na Jackson Group

Klabu ya Yanga leo Agosti 19, 2022 imetangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Marketing ambayo ipo chini ya mtaalamu wa Marketing nchini KELVIN TWISA.

Mkataba huo kati ya Johnson Group na Yanga SC unalenga kuinufaisha klabu hiyo kwa kufungua fursa zaidi kwa wawekezaji na wadhamini.

“Kazi yetu ni Kuiuza Yanga kwa Partners ambao wanaelewa thamani ya Yanga, kuleta biashara kwa Yanga, kutafuta wadhamini zaidi ya waliopo, kuongeza thamani ya Yanga kwa kutimiza ahadi ambazo wanapata wale wadhamini wao,” CEO Jackson Group, Kelvin Twisa.

Source: Azam TV
Kwani wasemaji wa klabu walikuwa hawatoshi kuuza brand ya timu?
 
Klabu ya Yanga leo Agosti 19, 2022 imetangaza kuingia mkataba wa miaka miwili na Kampuni ya Marketing ambayo ipo chini ya mtaalamu wa Marketing nchini KELVIN TWISA.

Mkataba huo kati ya Johnson Group na Yanga SC unalenga kuinufaisha klabu hiyo kwa kufungua fursa zaidi kwa wawekezaji na wadhamini.

“Kazi yetu ni Kuiuza Yanga kwa Partners ambao wanaelewa thamani ya Yanga, kuleta biashara kwa Yanga, kutafuta wadhamini zaidi ya waliopo, kuongeza thamani ya Yanga kwa kutimiza ahadi ambazo wanapata wale wadhamini wao,” CEO Jackson Group, Kelvin Twisa.

Source: Azam TV
Sasa timu ikiwa na wadhamini wengi, jezi zao si zitakuwa na makolokolo mengi ya logo nyingi nyingi kama za timu za Sudan?
 
Terms and Conditions ?

Huu ukurasa ndio wa muhimu kwa pande zote....,
 
Back
Top Bottom