The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
Ila mashabiki wengi wa yanga walitegemea hili kutokeaYanga hawawezi sema nini tatizo hii itapelekea wapenzi wa Yanga kuwa na taharuki.
Hii barua kingereza Chake na Kiswahili chake haviendani. UTO FC katika ubora wao wa hali ya juu Sana.Wakuu Salaam;
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kua imemfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic. Hata hivyo Yanga SC hawajatoa sababu yoyote ya msingi ya kumfungashia virago kocha huyo.
View attachment 1589519
Nini maoni yako?
Kocha mpya atakuwa na kisingizioMaandalizi ya Oktoba 18 dhidi ya Mnyama....
Kichapo kipo palepale tu !!
Poor performance ya timu ndo imesababisha jamaa atimuliwe,Wakuu Salaam;
Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kua imemfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic. Hata hivyo Yanga SC hawajatoa sababu yoyote ya msingi ya kumfungashia virago kocha huyo.
View attachment 1589519
Nini maoni yako?
Kamfumua yule wa Jana goli nying tuu, ligi bado mbichi, panic ya nn, upo kileleni sasa presha ya wapi hiiPoor performance ya timu ndo imesababisha jamaa atimuliwe,
Yanga is a big team in EA,so kushinda mechi kwa magoli machache sio kitu sahihi kwao.
Ile match kacheza GSM kocha katimiza jukumu LA kukaa kwenye bench ndio Maana unaona ule utoto wanaleta costalKamfumua yule wa Jana goli nying tuu, ligi bado mbichi, panic ya nn, upo kileleni sasa presha ya wapi hii
Bro mpira is open game,yaani kocha tangu aje yanga haijawahi kucheza pira biriani,Kamfumua yule wa Jana goli nying tuu, ligi bado mbichi, panic ya nn, upo kileleni sasa presha ya wapi hii
How sure you are?Ile match kacheza GSM kocha katimiza jukumu LA kukaa kwenye bench ndio Maana unaona ule utoto wanaleta costal
Bila shaka imeandaliwa na Wakili Msomi..! Bongo nyosooohiyo english sasa,daah
Sio kwamba wanaandaa Mazingira ili wakichapwa ionekane hawakuwa na Kocha?Kocha mpya atakuwa na kisingizio
kwaiyo pale alihongwa dada yako?ulisimuliwa au uliona game?Kushinda kwa kuhonga wakati kocha mnamlipa ni ujinga