Klabu ya Yanga SC yamfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic

Klabu ya Yanga SC yamfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
7,574
Reaction score
10,598
Wakuu Salaam;

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kua imemfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic. Hata hivyo Yanga SC hawajatoa sababu yoyote ya msingi ya kumfungashia virago kocha huyo.

IMG_20201003_231307_601.JPG

Nini maoni yako?
 
Yanga hawawezi sema nini tatizo hii itapelekea wapenzi wa Yanga kuwa na taharuki.
pamoja na kuwa Senzo lakini bado hawawezi mtumia ipasavyo kupata mafanikio kwasababu Yanga wana ombe la uongozi.
 
Wakuu Salaam;

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kua imemfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic. Hata hivyo Yanga SC hawajatoa sababu yoyote ya msingi ya kumfungashia virago kocha huyo.

View attachment 1589519

Nini maoni yako?
Hii barua kingereza Chake na Kiswahili chake haviendani. UTO FC katika ubora wao wa hali ya juu Sana.
 
Maandalizi ya Oktoba 18 dhidi ya Mnyama....

Kichapo kipo palepale tu !!
 
Wakuu Salaam;

Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kua imemfuta kazi kocha wao Zlatko Krmpotic. Hata hivyo Yanga SC hawajatoa sababu yoyote ya msingi ya kumfungashia virago kocha huyo.

View attachment 1589519

Nini maoni yako?
Poor performance ya timu ndo imesababisha jamaa atimuliwe,

Yanga is a big team in EA,so kushinda mechi kwa magoli machache sio kitu sahihi kwao.
 
Hyo timu imekuwa kama danguro kila mtu anafanya anavyojua yeye.
Wengine wanaitisha Press conference kujadili mkataba wa Morrison na Simba wengine wanajadili kumfukuza kocha.
Yaani ni mtifuano tu kila mtu ana mapembe..
Yanga mkitaka mfanikiwe mfukuzeni gsm.
Anawaharibia timu yenu..
Timu wameshaiteka hyo.
 
Poor performance ya timu ndo imesababisha jamaa atimuliwe,

Yanga is a big team in EA,so kushinda mechi kwa magoli machache sio kitu sahihi kwao.
Kamfumua yule wa Jana goli nying tuu, ligi bado mbichi, panic ya nn, upo kileleni sasa presha ya wapi hii
 
Kamfumua yule wa Jana goli nying tuu, ligi bado mbichi, panic ya nn, upo kileleni sasa presha ya wapi hii
Bro mpira is open game,yaani kocha tangu aje yanga haijawahi kucheza pira biriani,

Yaani yanga anacheza mpira mgumu kana kwamba akija mgeni afu akiambiwa hawa ndio mabingwa mara nyingi wa hii nchi hawezi akakubali.
 
Kuna kocha Jana kawekwa pending list kusubiri ajira, labda ndo huyo ameletwa.
 
Back
Top Bottom