Klabu ya Yanga yamtema rasmi aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano Hassan Bumbuli

Klabu ya Yanga yamtema rasmi aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano Hassan Bumbuli

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake kutamatika hivyo basi nafasi ipo wazi na inahitaji kujazwa.

Chanzo: Radio UFM
 
Alikuwa na majibu ya nyodo balaa, na ukisomo hapa unaona kabisa kuna wakati alikuwa anavuka mipaka.
20220811_231941.jpg
 
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake kutamatika hivyo basi nafasi ipo wazi na inahitaji kujazwa.

Chanzo: Radio UFM
Sio katemwa bali kamaliza mkataba wake na yanga hawajampa mkataba mwingine
 
Sasa watabaki na yule afisa habari mfungwa au itakuwaje?

Uongozi wa Hersi bado mchanga sana kiutendaji.
Transformation ndo inamuondoa huyu..Hersi anataka kufanya kazi na anayemuhitaji, anayeenda naye yaani.
 
Back
Top Bottom