Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Yani unataka kumpangia muajiri mtu wa kumpa kibarua?Sasa watabaki na yule afisa habari mfungwa au itakuwaje?
Uongozi wa Hersi bado mchanga sana kiutendaji.
Huu ndio mwisho wa upeo wako kufikiri?