Muda si mrefu mzungu pori anakuwa mkubwa kuliko Utopolo a.k.a wazee wa kinyesiMzee wa fitina atawafitinisha atataka yeye awe mtu wa maamuzi kwenye team ....
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake kutamatika hivyo basi nafasi ipo wazi na inahitaji kujazwa.
Chanzo: Radio UFM
Watavurugana hadi baas. Na badoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakomaaa.
Sio katemwa bali kamaliza mkataba wake na yanga hawajampa mkataba mwingineUongozi wa klabu ya Yanga kupitia kwa Kaimu Mtendaji Mkuu, Simon Patrick umethibitisha rasmi kuachana na aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo Hassan Bumbuli, baada ya muda wake kutamatika hivyo basi nafasi ipo wazi na inahitaji kujazwa.
Chanzo: Radio UFM
Humo mlikuwa hamna kituAlikuwa na majibu ya nyodo balaa, na ukisomo hapa unaona kabisa kuna wakati alikuwa anavuka mipaka.View attachment 2321272
Sasa watabaki na yule afisa habari mfungwa au itakuwaje?
Uongozi wa Hersi bado mchanga sana kiutendaji.