Klabu ya Yanga yamtema rasmi aliyekuwa Afisa Habari na Mawasiliano Hassan Bumbuli

Sasa watabaki na yule afisa habari mfungwa au itakuwaje?

Uongozi wa Hersi bado mchanga sana kiutendaji.
Yani unataka kumpangia muajiri mtu wa kumpa kibarua?

Huu ndio mwisho wa upeo wako kufikiri?
 
Hersi hapindui kitu kwa Sope,kila anachomuambia anakubali tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…