Ninaomba kusema hivi, recently kumezuka tabia ya kuacha kutoa hoja na kugusa mambo ya wake za watu hapa JF, na maneno ya kashfa zisizokuwa na ukweli, sasa ninaomba kusema hivi wale mnaotaka kwenda hiyo avenue muwe makini, maana wake zenu wanajulikana na tabia zenu nje ya wake zenu zinajulikana tena sana, sasa ninawaomba muwe waangalifu sana kwenye hiyo avenue ya wake za watu ambazo hamna uhakika, maana zitawekwa za kwenu zenye uhakika, halafu hatutaelewana hapa, na zitafikishwa kwa wake zenu na nyinyi mtaruhusiwa pia kufanya hivyo yaani kufikisha habari mnazozijua za wengine kwa wake zao!
Tena naomba niweke wazi one thing, mimi nimeoa mwaka 1995, mpaka leo ninaishi na mke wangu na tuna watoto wawili, sasa anyejua mwanamke yoyote niliyewahi kutembea naye nje ya mke wangu ninampa ruhusa amuambie mke wangu tena anytime, na pia anyemjua mwanamke yoyote niliyewahi angalu kumtongoza tu amuambie mke wangu ata anytime, halafu anipe na mimi hiyo nafasi ili nimuambie mke wake mambo yake, au nimuambie ya mke wake yote, na yeye aniambie ya mke wangu yote, hoja hujibiwa kwa hoja, kama pamewashindeni hapa kaeini pembeni, mjadala ukiisha huwa tunasonga mbele, hatuangalii ya jana, kuna tuliozaliwa na debate vinywani mwetu, ukiuliza watu tulioenda nao shule watawaambia kuwa hata shuleni waalimu walikuwa wakikimbia, waziri au kiongozi mgeni akija sule tulikuwa tunapewa free pass kwenda mjini tusiwepo kwenye mkutano na mgeni, wengine siasa tumezaliwa nazo tumeona watu wanotuhusu wakitukanwa toka tukiwa watoto kwenye siasa, kwa hiyo tumezoea, lakini kuna manoonekana kutokuwa na huo uwezo wa kustahimili, sasa mnaanza kupotea ndugu zangu,
Binafsi ninaishukuru sana hii forum kwa kunisaidia kuwaelewa watu wanafiki, wengi tu ambao nilifikiri ni watu wema kumbe sio, na wote nimewa-down load tayari, na kama kuna aliyeniona in that way kwangu ni sawa, lakini pia hapa forum nimekuatana na watu wema na wazuri na thanks God kwa kunipa nafasi ya kuwafahamu, lakini tukianza wake zetu na familia, asije akalia mtu wakuu, maan wengine tuna mpaka concrete evidence huwa tunaziweka incase!
Mbunge shujaa Anne Kilango Malecela, sidhani kama anahitaji endorsement ya anybody hapa kuendelea na kazi yake ya wananchi, waliomtuma bungeni, mbona sometimes tunapenda kujipa madaraka tusiyokuwa nayo?
Wenginew tunamuombea tu aendelee salama na Mungu ampe maisha marefu na msimamo alio nao na wabunge wengine kama Zitto, Slaa na Mwakyembe.
Mama Kilango alikosa ubunge wa Ubongo, lakini Mkapa akampa wa bure, unless kuna something sielewi!