William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Kama nimekuelewa vizuri unatuma ujumbe kuwa inawezekana hayuko tayari sasa hivi lakini anaweza kujiandaa na kuwa tayari hapo baadae.
Mkuu nimesoma kwa makini sana hizi comments, na kugundua kuwa kinachosemwa ni bigger than the interview yenyewe, unajua kuna tunaojua ku-read between the lines, sasa nikajiuliza kulikoni mi-comments mizito namna hii tena mingine ya kumponda kabisa Mbunge wa Taifa kama vile ni katibu kata? Maaana comments zingine ni nzito utafikiri mama anagombea ukatibu wa UN!
Ndio nikagundua kuwa kumbe mama tayari ni threat, ndio maana mkuu nikatoa maoni yangu kama wengine, kuwa mama akitaka kugombea urais, kitu ambacho hakukisema kwenye interview, sio tu kwamba anazo qualifications zote zinazotakiwa, bali ni haki yake kama mwananchi wa Tanzania, uamuzi wa wa sisi wananchi wa Tanzania.
Ahsante Mkuu!