Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii

Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,414
Reaction score
2,181
Klinik Ya Ngozi BURE Online Wiki Hii

Dr.Mussa Zaganza nimekuwa kwa muda mrefu nikiwasaidia watanzania ushauri wa kutunza ngozi zao kwa njia za asili.Na Wiki Hii nimeandaa klinik ya ngozi kupitia group la whatsapp ambapo utapata kujifunza yafuatayo:



Makundi 4 ya ngozi,jinsi ya kuipima ngozi yako ni kundi lipi na namna ya kuitunza kila ngozi kulingana na kundi. Makundi haya ni ngozi ya mafuta,kavu,kawaida na mchanganyiko



Yajue madhara ya vipodozi vyenye kemikali na vijue vipodozi vya asili badala yake



Kutatuliwa changamoto mbali mbali za ngozi ulizonazo ikiwemo chunusi, mba, mapunye, kupasuka miguu (magaga/kea), kuondoa weusi mapajani au makalioni ,mafuta mengi kwa ngozi, na mengineyo



Piga simu au text kwenda 0713039875 kujiunga Darasani . au kwa msaada wa ngozi



Jiunge muda huu, nafasi ni chache
 

Attachments

  • black beauty.jpg
    black beauty.jpg
    9.6 KB · Views: 8
Back
Top Bottom