Klopp na Liverpool ni moto wa mabua, utazimika hivi karibuni

Klopp na Liverpool ni moto wa mabua, utazimika hivi karibuni

Moderators naandaa uzi wangu halafu mnatoa taarifa **** siruhusiwi kutumia sehem ya postings!mnamaanisha nini?acheni udikteta!kama ni liverpool hata mi ni mshabiki sana tu ila nasema ukweli kuwa pasipo mbadala wa salah,mane firminho ubingwa utaenda city!klopp aache ubishi!asajili!!!
Hivi Klopp naye anapita humu jf ili asome haya maoni yako? After all kwani wewe lengo lako ni kutaka Liverpool awe bingwa au ni kujitia ujuaji ili ikitokea Liverpool wamefeli uanze kubwabwaja eti ulisema? Kwenye haya mambo ya mpira Klopp pamoja na benchi lake wana akili ( ya mpira) kuliko wewe jumlisha na mashabiki uchwara wenzako wote. Kasoro zote za timu yake anazijua na ikitokea hajazirekebisha kwa kuleta wachezaji wapya inawezekana wameshindwa kufanya hivyo na hata akisajili si kwa vile wewe umesema. La muhimu tufurahishane kwa kutoa maoni yoyote LAKINI si kama hayo ya kwako. La kama umeona Klopp hakusikilizi basi peleka ushauri wako hata kwa Everton kama man. city nao hawatakusikiliza kwa kufanya reinforcement kwa back line yao.
 
Mugosha hii ni forum ya michezo,tunajadili michezo hapa sio utabiri tu!!!ninachosema sio mimi tu hata mashabiki wa ulaya wanasema!mbadala wa salah mane na firminho uko wapi????
 
Kama tunavojua kwa misimu yote ya nyuma, LFC hawana pumzi ya mbio za marathon, wataishia njiani! Majeruhi kwa Mo Salah, Mane na Firmino ubingwa kwaheri!
LFC have nothing to prove anything to any-freaking-body.

LFC ndiyo machampioni wa Ulaya kwa sasa.

LFC ndiyo machampioni wa kihistoria wa Ulaya kuliko timu yoyote ya England.

LFC ina Ballon d'or contenders wengi mwaka huu kuliko timu yoyote ya England (hii ni kutokana na status ya UCL championship kuwa kubwa kuliko ile ya EPL ambapo still LFC tayari ina ndoo 18 anyways!).

LFC ndiyo timu inayoongoza kihistoria kwa idadi ya makombe England nzima.

all prentenders and wannabes are just playing catch up to the mightier than the mightiest LFC... good luck!!

need I say more? repeat.... LFC have nothing more to prove to any bloody piece of shiite!
 
M-mbabe no pretenders here!!i've been a kopite since my childhood!but truth to be told!klopp should adress the squad if he want to be on the front foot for two major trophies!!!dont u remembe in ucl final 2018 salah was injured and game over?lallana played with no impact at all!a true kopite should be sensitive to the weakness of his team!!!
 
Wewe THE BREED bado sana.
Screenshot_20191119-075337.jpg
 
M-mbabe no pretenders here!!i've been a kopite since my childhood!but truth to be told!klopp should adress the squad if he want to be on the front foot for two major trophies!!!dont u remembe in ucl final 2018 salah was injured and game over?lallana played with no impact at all!a true kopite should be sensitive to the weakness of his team!!!
Hukutakiwa kuanzisha uzi. Jukwaa la kopites lipo. Pale kuna wachambuzi wazuri na bora kabisa. Huu upuuzi ulioleta huku kwanza si rahisi kuonekana. Ungeweka kule jukwaani kwetu.

Uje upambane na kina King Ngwaba MosDef mbabe Malafyale Captain Marvelous na wengine.huku ni uchochoroni.
 
M-mbabe no pretenders here!!i've been a kopite since my childhood!but truth to be told!klopp should adress the squad if he want to be on the front foot for two major trophies!!!dont u remembe in ucl final 2018 salah was injured and game over?lallana played with no impact at all!a true kopite should be sensitive to the weakness of his team!!!
true Kopites tunajua namna ya kuikosoa timu yetu. huwezi kuuita timu unayoipenda "moto wa mabua" kama ulivofanya wewe.
jipange!!
 
Tatizo LFC kwenye ligi anakutana na wapumbavu wengi Sana!!
 
Kama sikupaswa kuanzisha uzi hapa !mwambieni melo afute jukwaa la sports!!acheni umangimeza mazee!!!
 
Back
Top Bottom