KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F mradi huu umefikia hatua Gani?

KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F mradi huu umefikia hatua Gani?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kuna siku niliona mikataba ya miradi hii ikisainiwa.
Miradi hii imefikia hatua Gani?
Ni mwaka Sasa umepita tangu nione miradi ikisainiwa.
 
Kuna siku niliona mikataba ya miradi hii ikisainiwa.
Miradi hii imefikia hatua Gani?
Ni mwaka Sasa umepita tangu nione miradi ikisainiwa.
Bado tunafanya upembuzi yakinifu kwanza, tutaanza kuweka alama za ujenzi mwaka 2025 mwezi wa sita siku chache kabla ya kuvunja bunge.
 
Nilishangaa sana bibi yule kutengeneza Kms 2035 WAKATI Pesa hatafuti Wala hajui kinachiendelea nchini
 
Wameshika vizuri
 
Attachments

  • 20240119_080827.jpg
    20240119_080827.jpg
    517 KB · Views: 3
na zile bilion 300 za kutengeneza barabara za dar es salaam ivi zimeshatumika kweli ?
 
Back
Top Bottom