peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Bado tunafanya upembuzi yakinifu kwanza, tutaanza kuweka alama za ujenzi mwaka 2025 mwezi wa sita siku chache kabla ya kuvunja bunge.Kuna siku niliona mikataba ya miradi hii ikisainiwa.
Miradi hii imefikia hatua Gani?
Ni mwaka Sasa umepita tangu nione miradi ikisainiwa.
Zilishatafunwa hizo wanangoja zingine.Kuna siku niliona mikataba ya miradi hii ikisainiwa.
Miradi hii imefikia hatua Gani?
Ni mwaka Sasa umepita tangu nione miradi ikisainiwa.
Ndio wapotoshaji wa kwanza haoHuyu ChoiceVariable na FaizaFoxy ndio wanafahamu
Yule Mama ni tapeli na ni mtu wa Me wengi.na zile bilion 300 za kutengeneza barabara za dar es salaam ivi zimeshatumika kweli ?