🤣🤣🤣Mkuu unaandika Uzi ukiwa hospitali nini ? KCMC? [emoji44][emoji44]
Anyway Simba leo anamtafuna mtu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Anavinasaba vya kucheza mieleka sio football.Kibu Denis Ni Ana nini Miguuni Mzitooo
Huyo Sackho wenu ana rukaruka tu.
Vipi akikutana Raja Casablaca. Hamna kitu humo.
Bora hata kijana wetu Rashidi Juma
Nani ameweka kamba ya pili mkuu?KMC 0-2 SIMBA, dakika ya 33
Onyango, J.Nani ameweka kamba ya pili mkuu?
Babu nae kumbe yumo. Nilianza kufikiria aachwe kwenye usajiliOnyango, J.
Kwani huangalii mpira. ?Umeona Wapi?