KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

Huyo Sackho wenu ana rukaruka tu.
Vipi akikutana Raja Casablaca. Hamna kitu humo.
Bora hata kijana wetu Rashidi Juma
 
Christmas yangu itapedeza saaaaana, ahsante Zimba jitu likubwa
 
KMC wanapata goli la kwanza katika dakika ya 40
 
Back
Top Bottom