KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

Tatizo liko hapa

Tukishafungwa tayari morale inashuka kwa wachezaji na hatari ya kusawazishiwa bao la pili inakua karibu
 
KMC wanatawala mpira kwa sasa, simba ni kama ina taharuki bado
 
DK 2 za nyongeza kuelekea kumalizika kwa kipindi cha kwanza
 
Mshaanza kulilia hapa, hivi nani amewaongopea kuwa SIMBA ni Nzuri??
 
Hii mechi ilipaswa wachezaji walinde ushindi wao kwa dakika nyingi, kuwaruhusu KMC wasawazishe goli moja katika kipindi cha kwanza kitawapa sana confidence ya kuwasumbua simba katika kipindi cha pili
 
Bila Mugalu Simba inacheza zaidi nyuma, hakuna zaidi ya Mugalu huko mbele ambae anaweza kukaa na mpira ili wengine wasogee.
 
Hii mechi ilipaswa wachezaji walinde ushindi wao kwa dakika nyingi, kuwaruhusu KMC wasawazishe goli moja katika kipindi cha kwanza kitawapa sana confidence ya kuwasumbua simba katika kipindi cha pili
Tofauti ya goli 1 mapema yote hii ni mbaya Sana.
 
Simba tuna kazi tunaenda kucheza Confederation kwa kuwatengemea KIBU ,MKUDE, MZAMIRU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…