Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesawazisha ngapi?wamesawazisha
Tulia wewe utopwinyo..Mshaanza kulilia hapa, hivi nani amewaongopea kuwa SIMBA ni Nzuri??
Mshaanza kulilia hapa, hivi nani amewaongopea kuwa SIMBA ni Nzuri??
KMC 0?Kakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika naaam tuangalie kipindi cha pili kitakuwaje
KMC 0- Simba 2
Kwani bingwa wa hii LIGI ni nani?Mshaanza kulilia hapa, hivi nani amewaongopea kuwa SIMBA ni Nzuri??
Tofauti ya goli 1 mapema yote hii ni mbaya Sana.Hii mechi ilipaswa wachezaji walinde ushindi wao kwa dakika nyingi, kuwaruhusu KMC wasawazishe goli moja katika kipindi cha kwanza kitawapa sana confidence ya kuwasumbua simba katika kipindi cha pili
nimepagawa aiseeeKMC 0?