KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

KMC 1-4 Simba | Tabora| Ligi kuu ya NBC

Kwakweli bado sijaielewa Simba inavyopanga mashambulizi.
Viungo hawana uthubutu wa kupunguza mabeki na kutoa assist za maana kwa mshambuliaji.
Mshambuliaji Hana uwezo wa kupunguza beki na hata kumiliki mpira!!!
Mugalu tafadhali Mungu akuponye haraka ili tusifedheheke huko mbele I.
Kwa kweli wachezaji wetu wengi hawajiamini huo ni ukweli mchungu ndiyo maana hawawezi kuwa na ujasiri wa kuchambua ngome ya wapinzani na kucreate clear chances kama akina Chama na Mique na yote ni kwa sababu wengi wao ni waoga na wavivu
 
Usiseme waoga na wavivu, uwezo wao ndio umeishia hapo

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom