mwanadar
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 423
- 294
Hao ndio wanatuharibia timumatola & company wanafanya sub bila kocha mkuu kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ndio wanatuharibia timumatola & company wanafanya sub bila kocha mkuu kujua
Du jamaa Aondoke huyuNdiyo, lakini sahivi pablo si ana vyeti hitimana sijui anasubiri nini pale.
Eti wanadai Kibu na Onyango walikuwa off sideYani mazuzu Fc hawaoni ushindi wetu
Tarehe1 kauli yenu itakuwa hilo ni tawi lenuHongereni lkn ule mpira wa kmc ni kama mmepewa zawadi tu. Subirini tar 1 tuone kma mna makali.
Kwa kweli wachezaji wetu wengi hawajiamini huo ni ukweli mchungu ndiyo maana hawawezi kuwa na ujasiri wa kuchambua ngome ya wapinzani na kucreate clear chances kama akina Chama na Mique na yote ni kwa sababu wengi wao ni waoga na wavivuKwakweli bado sijaielewa Simba inavyopanga mashambulizi.
Viungo hawana uthubutu wa kupunguza mabeki na kutoa assist za maana kwa mshambuliaji.
Mshambuliaji Hana uwezo wa kupunguza beki na hata kumiliki mpira!!!
Mugalu tafadhali Mungu akuponye haraka ili tusifedheheke huko mbele I.
Usiseme waoga na wavivu, uwezo wao ndio umeishia hapoKwa kweli wachezaji wetu wengi hawajiamini huo ni ukweli mchungu ndiyo maana hawawezi kuwa na ujasiri wa kuchambua ngome ya wapinzani na kucreate clear chances kama akina Chama na Mique na yote ni kwa sababu wengi wao ni waoga na wavivu