KMC complex kama Ulaya, waleta Gari la kisasa la kubebea wachezaji majeruhi uwanjani

KMC complex kama Ulaya, waleta Gari la kisasa la kubebea wachezaji majeruhi uwanjani

Halafu ulaya kwenye waacha kutumia hivi vigari😀😀
 
Hivi vigari huwa nawaona navyo matajiri kwenye viwanja vya golf huko online.
 
Hiki ni kibajaji kama vingine tu , sema chenyewe kimewekewa facilities kwa huduma ya kwanza uwanjani tu🤔
Hahahahaha,mie siangalii hiyo,naangalia huyo aliyepita na hiyo fursa na kupiga mpunga, hizi ndio deal za kuchungulia,unapiga unapata hela,haya ya ubajaji yenu ,jamaa ana mpunga ujue muda huu?
 
Back
Top Bottom