cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂Mbona hicho ni kibajaji Kilichochngamka changamka tu
😂😂😂😂Mbona hicho ni kibajaji Kilichochngamka changamka tu
Sipendi kuona ,kijana mlalamishi wkt kuna fursa kibao tu ,jaribu kutoka huko,ktk kufikiria hasiKabisa mkuu
Sawa bro , ushauri wako ni mzuri mnoSipendi kuona ,kijana mlalamishi wkt kuna fursa kibao tu ,jaribu kutoka huko,ktk kufikiria hasi
Ahsante,Mkuu ,tuko pamojaSawa bro , ushauri wako ni mzuri mno
KMC COMPLEX hivi sasa Kuna gari la kisasa la kubebea wachezaji majeruhi uwanjani wanapokuwa wameumia wakati wa mechi.
HahahahahaHii si golf cart mzee baba?
Ina ukisasa gani