KMC FC Vs Simba SC (0-2) | Dimba la Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Vikongwe wapo kwetu unyamani mkuu! Wenzetu kule bado machalii sana! Kagere, Nyoni, Boko, Wawa, Onyango ...... ni vikongwe hawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Wakongwe ni Bora sana. Maana Simba msimu wa nne mfululizo wanachukua Ubingwa. Na walifanikiwa kufika hatua ya Makundi Kombe la Mabingwa. Ni bora kuwa na hawa maana wanaleta mafanikio. Sisi tuna watu ambao hajawa na manufaa kwa team. Kumfunga simba siyo mafanikio pekee kwa yanga. Hata Ruvu alishawahi mfunga Simba.
 
Sijakataa kama hawana ubora, niliweka sawa kwamba vikongwe wapo simba na si Yanga kutokana na mchangiaji mmoja hapo juu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawatafuta Marafiki zangu wawili Yanga huko mwanzo wa Uzi walikuwa kimbelembele Sana Kama mmewaona huko jama...!
Muwaambie tushaanza Shamra shamra Za Xmass....Wakaribie!
 
Back
Top Bottom