Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Bila makandokando hii mizee haishindiMuamala umeshasoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila makandokando hii mizee haishindiMuamala umeshasoma.
Niwakiti sasa Mwalim apange na wachezaji wengineTukipoteza michezo mitatu ijayo bado tunakuwa mabingwa
Tunatakiwa tupate angalau sare na coastal ili tutangazwe mabingwaTukipoteza michezo mitatu ijayo bado tunakuwa mabingwa
Match ya kigoma mbona ampredict goli 😂Kila siku watu wanaweka rekodi na kuvunja.
Kwangu siamini kuwa Yanga ni bora kuliko Simba kwa sababu ya kushinda mchezo, kwani hata Ruvu Shooting walishinda mchezo, hapo huwezi kusema Ruvu ni bora kuliko Simba.
Vp Dakika Ya Ngapi? Na Matokeo 🙄😏😶KMC hamtoniangusha, kapigeni pale kwenye mshono mbichi wa 3/7/2021 na kitu kizito chenye ncha kali
Haa😃😂😁😀Kaseja ni shabiki wa timu gani hapa nchini?
Mbona Uki-tambala aliupata alipoamia utopoloni?Kipa wenu wa Zamani Ni tambala Tu [emoji23][emoji23][emoji23]
KumekuchaLeo mnapigwa, game ya kwanza mlibebwa kwa kupewa penalty ya uongo, sasa Leo referee adhubutu kuwabeba some Cha mtema kuni. KMC komaza mimba hiyo aliyowekwa tarehe 3/7/021 na mme wake wa enzi na enzi.
kocha kafanya fyongo,Dilunga In, Mzamiru Out dk 68
Sema hii sub imesababisha hawa mbwiga kufika golini mara kwa maraDilunga In, Mzamiru Out dk 68