KMC FC Vs Simba SC (0-2) | Dimba la Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

KMC FC Vs Simba SC (0-2) | Dimba la Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

Kila siku watu wanaweka rekodi na kuvunja.

Kwangu siamini kuwa Yanga ni bora kuliko Simba kwa sababu ya kushinda mchezo, kwani hata Ruvu Shooting walishinda mchezo, hapo huwezi kusema Ruvu ni bora kuliko Simba.
Match ya kigoma mbona ampredict goli 😂
 
Mugaluuuuuuuuuuu Offside. Alikuwa ameweka kambani kope...!
 
Leo mnapigwa, game ya kwanza mlibebwa kwa kupewa penalty ya uongo, sasa Leo referee adhubutu kuwabeba some Cha mtema kuni. KMC komaza mimba hiyo aliyowekwa tarehe 3/7/021 na mme wake wa enzi na enzi.
Kumekucha
 
Back
Top Bottom