ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Vikongwe ni mzee mpili na yule mwingine wa kigoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana yanga sasa wamesajiri vikongwe ndo wapiga mikwalaVikongwe wapo kwetu unyamani mkuu! Wenzetu kule bado machalii sana! Kagere, Nyoni, Boko, Wawa, Onyango ...... ni vikongwe hawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti ya Mpili na Manala ni umri tu ila wote wapiga makelele! Labda mpira wetu unahitaji watu kama hao!Vikongwe ni mzee mpili na yule mwingine wa kigoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maana yanga sasa wamesajiri vikongwe ndo wapiga mikwala
Basi Wakongwe ni Bora sana. Maana Simba msimu wa nne mfululizo wanachukua Ubingwa. Na walifanikiwa kufika hatua ya Makundi Kombe la Mabingwa. Ni bora kuwa na hawa maana wanaleta mafanikio. Sisi tuna watu ambao hajawa na manufaa kwa team. Kumfunga simba siyo mafanikio pekee kwa yanga. Hata Ruvu alishawahi mfunga Simba.Vikongwe wapo kwetu unyamani mkuu! Wenzetu kule bado machalii sana! Kagere, Nyoni, Boko, Wawa, Onyango ...... ni vikongwe hawa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa kama hawana ubora, niliweka sawa kwamba vikongwe wapo simba na si Yanga kutokana na mchangiaji mmoja hapo juu!Basi Wakongwe ni Bora sana. Maana Simba msimu wa nne mfululizo wanachukua Ubingwa. Na walifanikiwa kufika hatua ya Makundi Kombe la Mabingwa. Ni bora kuwa na hawa maana wanaleta mafanikio. Sisi tuna watu ambao hajawa na manufaa kwa team. Kumfunga simba siyo mafanikio pekee kwa yanga. Hata Ruvu alishawahi mfunga Simba.
Kawaida yetu π¦π π π π
Naona unatamba mkuu....
Mgogo huyoHivi huyo Mugalu ni mnyakyusa?
Hivi huku kwetu head to head haituiki?Hata leo sisi ni mabingwa tayari mkuu mbona hesabu rahisi tu
Dawa yenu ipo kigoma.π π π π
Naona unatamba mkuu....
Hahahahaaa... haitumiki mkuu.Hivi huku kwetu head to head haituiki?
Kwa hiyo kwa lugha rahisi simba ni bingwa,afadhali!Hahahahaaa... haitumiki mkuu.
HakikaKwa hiyo kwa lugha rahisi simba ni bingwa,afadhali!
alichezea utopolo au ulikuwa haujazaliwaKipa wenu wa Zamani Ni tambala Tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuu kwa kunitoa shakaHakika
Pia , mimba apigwe kmc halafu kichefuchefu kwa mama jKufungwa afungwe KMC kununa anune Mpalange FC hii imekaaje?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app