KMC wameshinda kesi dhidi ya Awesu aliyetambulishwa na Simba SC wiki chache zilizopita

Carasco Putin

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
10,644
Reaction score
32,375
KMC wameshinda kesi dhidi ya AWESU AWESU aliyetambulishwa na Simba sC Tanzania wiki chache zilizopita.

Mimi Yanga damu ila Simba wanafanyiwa kisasi.

IMG-20240814-WA0165.jpg
 
Hakuna anaewafanyia kisasi ,Ni viongozi wa simba ndio tatizo kwasababu wameshkilia uzamani sana kwenye kufanya usajiri yaani hawafuati sheria na utaratibu sahihi. Zama za saivi hakuna umafia wala njia za mkato haijarishi mchezaji anapenda Simba au hapendi ila njia sahihi lazima zifuate kumsajiri
 
Hahahahaha wale wazee bado wana ujanja wa kizamani km unavyosema
 
Ina maana hata kutumia uwanja wa KMC siyo salama kwa Simba. Tutegemee timu itaanza kutangatanga tena. Daah!

Mimi nadhani wangewapa pesa wanayoitaka au wangekutana katikati. Awesu angecheza ile derby angeleta kitu kilichokosekana katika kile kikosi cha Simba.
 
Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.

KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.

Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
 
Simba watoe hela watakayo kmc,wabaki na mchezaji
 
KMC wameshinda kesi dhidi ya AWESU AWESU aliyetambulishwa na Simba sC Tanzania wiki chache zilizopita.

Mimi Yanga damu ila Simba wanafanyiwa kisasi.

Kuna tatizo si bure, kila mchezaji wa ndani simba wakimsajili kuna tatizo la kisheria. Either uongozi hauko makini au kuna tatizo mahali
 
Ina maana hata kutumia uwanja wa KMC siyo salama kwa Simba. Tutegemee timu itaanza kutangatanga tena. Daah!

Mimi nadhani wangewapa pesa wanayoitaka au wangekutana katikati. Awesu angecheza ile derby angeleta kitu kilichokosekana katika kile kikosi cha Simba.
Uwanja ni wa manispaa ya Kinondoni sio wa timu ya KMC. Manispaa ndiyo imejenga uwanja kupitia mapato ya wananchi wa manispaa husika kwahiyo wana uamuzi wa kuukodisha kwa timu yoyote ili mradi mapato yapatikane.

Ingekuwa klabu ya KMC ndiye mmiliki wa uwanja basi hapo kidogo tungesema wanaweza kuleta mambo mengi.

Azam complex stadium unamilikiwa na Azam fc lakini KMC unamilikiwa na serikali kupitia manispaa ya Kinondoni.
 
Tuliwaambia huu uhuni wa kuwarubuni wachezaji waweka pesa ya kuvunja mkataba kwenye account wauache hawakusikia.
Utaratibu hauko hivo mkataba unavunjwa Kwa pande mbili kukaa mezani
 
Uwanja ni wa manispaa ya Kinondoni sio wa timu ya KMC. Manispaa ndiyo imejenga uwanja kupitia mapato ya wananchi wa manispaa husika kwahiyo wana uamuzi wa kuukodisha kwa timu yoyote ili mradi mapato yapatikane.

Ingekuwa klabu ya KMC ndiye mmiliki wa uwanja basi hapo kidogo tungesema wanaweza kuleta mambo mengi.

Azam complex stadium unamilikiwa na Azam fc lakini KMC unamilikiwa na serikali kupitia manispaa ya Kinondoni.
Najua hilo ila na wewe unashindwaje kuelewa ninachotaka kusema? Klabu ya KMC inamilikiwa na Manispaa hiyo hiyo inayoumiliki uwanja. Sijasema manispaa wataikatalia Simba kutumia uwanja nimeelezea wasiwasi wangu kuwa mazingira yasiyo rafiki yanajengwa kwa vilabu hivi viwili na katika katika kushare uwanja, kumbuka timu ya KMC watakuwa na access nao huo uwanja kuliko Simba. Walimalize tu kiroho safi, Awesu ni mchezaji mzuri.
 
Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.

KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.

Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Manula nae mbona hamumuachi?

Hii ligi yenu ya ajabu sasa mchezaji akipoyeza hamu na timu ndio hasifuate utaratibu.Mara Fei,Kaja Dube,Lawi,Awesu,Manula. Wewe unamtaka mchezaji ifuate timj inayo mmiliki kubalianeni nae.
 
Back
Top Bottom