KMC wameshinda kesi dhidi ya Awesu aliyetambulishwa na Simba SC wiki chache zilizopita

Manula nae mbona hamumuachi?

Hii ligi yenu ya ajabu sasa mchezaji akipoyeza hamu na timu ndio hasifuate utaratibu.Mara Fei,Kaja Dube,Lawi,Awesu,Manula. Wewe unamtaka mchezaji ifuate timj inayo mmiliki kubalianeni nae.
Manula kajichanganya mwenyewe, anahisi wana Simba hatujamsamehe ile mechi ya 5 -1.
Sisi hatupo huko tena aje tujenge Simba mpya na bora Africa, kama hataki basi awaambie hao wanaomtaka Azam tukae mezani.

Hataki nalo basi apumzike soka msimu mzima akiwa anasugua benchi.
 
Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.

KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.

Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Unaandika ujinga mtupu, Mwenda ameondoka kulinda kipaji chake anakaa benchi Simba na Simba haina mahitaji naye sana.

Tofauti na Awesu ni mchezaji tegemeo, kwahiyo hapo kinachotakiwa ni pesa tu siyo porojo.

Hata huyo Mwenda amerudisha Simba pesa za mkataba.
 
Au kama vile Simba haohao walivyoamua kuachana na Kibu.
 
Unaandika ujinga mtupu, Mwenda ameondoka kulinda kipaji chake anakaa benchi Simba na Simba haina mahitaji naye sana.

Tofauti na Awesu ni mchezaji tegemeo, kwahiyo hapo kinachotakiwa ni pesa tu siyo porojo.

Hata huyo Mwenda amerudisha Simba pesa za mkataba.
HOJA inabakia palepale kama mchezaji anataka kuondoka wewe ukamzuia basi hatakupa 100% uwanjani.

Cha msingi KMC wasitambe kushinda kesi kama ilivyo sasa bali wawatafute Simba ili wamalizane kabla ya dirisha kufungwa - vinginevyo atakayeumia na KMC wenyewe na Awesu.
 
Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.

KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.

Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Sasa kama wanamliki na taratibu za kuvunja mkataba kihalali hazijafatwa unategemea wamwache tu?
 
Manula kajichanganya mwenyewe, anahisi wana Simba hatujamsamehe ile mechi ya 5 -1.
Sisi hatupo huko tena aje tujenge Simba mpya na bora Africa, kama hataki basi awaambie hao wanaomtaka Azam tukae mezani.

Hataki nalo basi apumzike soka msimu mzima akiwa anasugua benchi.
Kwa hiyo mnamng'ang'ania na kumkomoa?

Halafu hiyo 5-1 alikuwa anacheza peke yake?
 
Ina maana hata kutumia uwanja wa KMC siyo salama kwa Simba. Tutegemee timu itaanza kutangatanga tena. Daah!

Mimi nadhani wangewapa pesa wanayoitaka au wangekutana katikati. Awesu angecheza ile derby angeleta kitu kilichokosekana katika kile kikosi cha Simba.
Ishu yamkini ikawa ni upigaji, sidhani kama pesa ingewekwa KMC wangemzuia huyo mchezaji.
 
Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.

KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.

Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Nafkiri KMC walitaka pesa zaidi.
 
Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.

KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.

Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Fateni utaratibu acheni ujinga
 
Giants 😆😆😆🤣. kusajili wachezaji kwenyewe ni kwa ujanja ujanja.
 
Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.

KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.

Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Kwani Nani atakua mhanga Kati ya Awesu na KMC?
 
HOJA inabakia palepale kama mchezaji anataka kuondoka wewe ukamzuia basi hatakupa 100% uwanjani.

Cha msingi KMC wasitambe kushinda kesi kama ilivyo sasa bali wawatafute Simba ili wamalizane kabla ya dirisha kufungwa - vinginevyo atakayeumia na KMC wenyewe na Awesu.
Yani wenye shida ya mchezaji n Simba halafu KMC ndio wawatafute Simba?

Kama hizi ndio akili zenu basi Yanga itachukuwa ubingwa kweli kwa miaka 10 mfululizo.
 
Yaaan yanga atuwezi fanyaa ujinga kama huu wa Simba

Unampeleka mchezaji nje ya nchi anafanya mazoezi

Anarudi unaambiwa sio wako mkamqlizane na timuhusika

1.chezajii n lijingaa halijielewi
2.viongozi wa Simba n wajinga
Mlitaka kumfurahisha nani
 
Awesu atakapocheza Simba wewe utaonekana ndio mjinga. Subiri jioni ya leo
 
Yaaan yanga atuwezi fanyaa ujinga kama huu wa Simba. Unampeleka mchezaji nje ya nchi anafanya mazoezi. Anarudi unaambiwa sio wako mkamqlizane na timuhusika
1.chezajii n lijingaa halijielewi
2.viongozi wa Simba n wajinga
Mlitaka kumfurahisha nani
Awesu atakapocheza Simba wewe utaonekana ndio mjinga. Subiri jioni ya leo

Pdidy

Nilikuambia kwamba Awesu atakapotangazwa kuwa mchezaji wa Simba, utaonekana wewe ndio mjinga. Nakweli ni wewe sasa
 
Back
Top Bottom