Manula kajichanganya mwenyewe, anahisi wana Simba hatujamsamehe ile mechi ya 5 -1.Manula nae mbona hamumuachi?
Hii ligi yenu ya ajabu sasa mchezaji akipoyeza hamu na timu ndio hasifuate utaratibu.Mara Fei,Kaja Dube,Lawi,Awesu,Manula. Wewe unamtaka mchezaji ifuate timj inayo mmiliki kubalianeni nae.
Sisi hatupo huko tena aje tujenge Simba mpya na bora Africa, kama hataki basi awaambie hao wanaomtaka Azam tukae mezani.
Hataki nalo basi apumzike soka msimu mzima akiwa anasugua benchi.