Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Hahahahaha wale wazee bado wana ujanja wa kizamani km unavyosemaHakuna anaewafanyia kisasi ,Ni viongozi wa simba ndio tatizo kwasababu wameshkilia uzamani sana kwenye kufanya usajiri yaani hawafuati sheria na utaratibu sahihi. Zama za saivi hakuna umafia wala njia za mkato haijarishi mchezaji anapenda Simba au hapendi ila njia sahihi lazima zifuate kumsajiri
Hahahahaha, wenzako wanaingiza kibunda ujue , kupitia hizo sajiriMie nasema viongozi wetu pale msimbazi wapimwe mkojo.. Kuna vitu vinaendelea unajiuliza wale viongozi hata wakipewa ukatibu kata wanaweza wakafeli.
Simba watoe hela watakayo kmc,wabaki na mchezajiNi UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.
KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.
Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.
Ubwege ubwela(ubwege umerudi)Ubaya ubwege
Kuna tatizo si bure, kila mchezaji wa ndani simba wakimsajili kuna tatizo la kisheria. Either uongozi hauko makini au kuna tatizo mahaliKMC wameshinda kesi dhidi ya AWESU AWESU aliyetambulishwa na Simba sC Tanzania wiki chache zilizopita.
Mimi Yanga damu ila Simba wanafanyiwa kisasi.
Uwanja ni wa manispaa ya Kinondoni sio wa timu ya KMC. Manispaa ndiyo imejenga uwanja kupitia mapato ya wananchi wa manispaa husika kwahiyo wana uamuzi wa kuukodisha kwa timu yoyote ili mradi mapato yapatikane.Ina maana hata kutumia uwanja wa KMC siyo salama kwa Simba. Tutegemee timu itaanza kutangatanga tena. Daah!
Mimi nadhani wangewapa pesa wanayoitaka au wangekutana katikati. Awesu angecheza ile derby angeleta kitu kilichokosekana katika kile kikosi cha Simba.
Najua hilo ila na wewe unashindwaje kuelewa ninachotaka kusema? Klabu ya KMC inamilikiwa na Manispaa hiyo hiyo inayoumiliki uwanja. Sijasema manispaa wataikatalia Simba kutumia uwanja nimeelezea wasiwasi wangu kuwa mazingira yasiyo rafiki yanajengwa kwa vilabu hivi viwili na katika katika kushare uwanja, kumbuka timu ya KMC watakuwa na access nao huo uwanja kuliko Simba. Walimalize tu kiroho safi, Awesu ni mchezaji mzuri.Uwanja ni wa manispaa ya Kinondoni sio wa timu ya KMC. Manispaa ndiyo imejenga uwanja kupitia mapato ya wananchi wa manispaa husika kwahiyo wana uamuzi wa kuukodisha kwa timu yoyote ili mradi mapato yapatikane.
Ingekuwa klabu ya KMC ndiye mmiliki wa uwanja basi hapo kidogo tungesema wanaweza kuleta mambo mengi.
Azam complex stadium unamilikiwa na Azam fc lakini KMC unamilikiwa na serikali kupitia manispaa ya Kinondoni.
Kisasi cha manji kinalipwaKuna tatizo si bure, kila mchezaji wa ndani simba wakimsajili kuna tatizo la kisheria. Either uongozi hauko makini au kuna tatizo mahali
Manula nae mbona hamumuachi?Ni UJINGA kubakia na mchezaji ambaye ameshapoteza mapenzi na timu yako.
KMC jiandaeni kubaki na awesu asiye na TIJA. Hamtapata mnachokitaka toka kwake uwanjani.
Igeni mfano wa Simba kuamua kuachana na Mwenda.