Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TakbirHuyo osama na hamza kaagizwa na nani
[emoji16][emoji16][emoji16] mfalme alikuwa bandidu sanaWana unoma gani mhona mfalme phillip wa 4 wa Ufaransa aliwakamata na kuwaua knight templars wote waliokuwa ufaransa baada ya kuona wanamdai pesa nyingi na hawezi kulipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mfalme alikuwa bandidu hasa, akawa tuhuna akawakamata na kuwaua 😂😂😂[emoji16][emoji16][emoji16] mfalme alikuwa bandidu sana
Umewaacha familia ya Rockefellers ambao wanaongoza Bank kuu ya America pia .
Yatakuja mapuuz humu ambayo hayana references zozote za habar wala hayana facts zozote zaid ya kusema conspiracy theories ama hadith za uongo.
Watu kama haw wapo tangu karne na karne na hawawezi kuisha maana wao ni kama chambo ya wengine kujifunza, ama wao ni kama matomaso ambao wameyatowa maisha yao kupinga kila kitu bila kuwa na evidence za upingaji wao mwisho wao huwa mbaya maana hukumbwa na dhoruba la yale waliyojiaminisha hayapo sas yakawakuta.
Na ndio hawa hawa hata ktk vita za 1&2 ya dunia walikuwepo ktk ile migogoro ya nchi zilizopigana, wao walkuwa wakiita migogoro hiyo ni conspiracy, sas unajuwa nini kiliwapata?
Hata ktk stories za dini utawaona watu hawa wazee wa kupinga pinga wao ndyo walikuwa wadhurikaji wakubwa sabbu ya ubishi wao, hivyo kupinga mafundisho na njia za kujinasua mapema wakakosa sabbu ya kuona wako safe hapa dunian.
Hakuna uhuru&usafe hapa dunian as long as wanaoiongoza dunia ni wanadamu, na ndio wale wale ambao tangu zamani walikuwa wakileta maafa, tofauti ni uzao tu, lkn tabia ni zile zile.
Mambo yaliyozitokea jamii za zamani lazma yatokee hata ktk jamii za sasa maana hakuna jambo lisilo na mwisho, pia ktk kila lifanyikalo lazma kuna cause &effects, so tutarajie results za hizo couses soon japokuwa hawa wapuuzi waitao conspiracy hawaamini.
Inafika muda mtu unakata tamaa ya kuwaelimisha watu wapumbavu wasiotaka kujifunza zaid ya kukaza vichwa vyao, unaamua kuwaacha watakuja kujifunza baada ya kudhurika.
Mtu kutoa muda wake humu kukuandikia mambo ambayo hata mwalimu wako ambaye ulikuwa ukimpa pesa/ada lkn hakukufundisha, em jiulize huyu anaekufundisha mambo haya bure ni Upendo gani kwako?
FOOLISHNESS, tunaishi na jamii za hovyo kabisa.
View attachment 2113209
Kama conspiracy weka nawew tuone points zako, usiwe mwepes kupinga bila evidence,
Hayo ya sarafu moja na dini moja yanakuwa hayana maana kama yanakiuka haki za binadamu, pia yanakiuka haki ya kuabudu.
Kumlazimisha mtu aabudu kitu asichokitaka huo ni ukoloni na udicteta, kuuwa pesa na sarafu za nchi zingine kwa kulazimisha maslahi na pesa za wengine zitawale huo ni udicteta,kwanin wasiache ushindani wa sarafu hizo zenyewe then yenye nguvu ndiyo itawale bila kuforce?
Inaonekana wew ktk mambo haya huna ujualo, so keep quiet
Familia tano zinazomiliki dunia ni
1.The Rotchchild family... USA
2.The Rocefeller family
3.The Oppenheimer family
4.The Warburg family
5.The Dupont family.
Hawa ndio wanacontrol uchumi na siasa ulimwengu pote.
Ni top illuminati family ndio wanamiliki bank ya Dunia, IMF, media zote kubwa duniani, madini, mafuta na raslimali zote za dunia ni zao.
Wao ndio upanga bei, wapanga sera na ajenda zote.
Pinga kwa hojaUongo
Pinga kwa hoja
Sasa wanyama wanaweza kuzungumzaUkiambiwa hadithi ya Sungura alikuwa anazungumza na fisi utapinga kwa hoja gani?
Sasa wanyama wanaweza kuzungumza
Kama aliweza zungumza zamani kwann SAsa asizungumze.Thibitisha hapo zamani za kale Sungura alikuwa hawezi kuzungumza.
Kama aliweza zungumza zamani kwann SAsa asizungumze.
Hizi mambo ni kama zile propaganda za mwanadamu alitokana na sokwe huu ni uongo mkubwa kabisa,
Utoto SAsa huu, hao sokwe wa SAsa mbona awabadiliki kuwa wanadamu sasaThibitisha Hakuna Sungura anayezungumza,
Thibitisha mwanadamu hakutokana na Sokwe.
Utoto SAsa huu, hao sokwe wa SAsa mbona awabadiliki kuwa wanadamu sasa
Utoto SAsa huu, hao sokwe wa SAsa mbona awabadiliki kuwa wanadamu sasa
[emoji3][emoji3][emoji3] ukichelewa kufa unaenjoy japo life ni ngumu balaaUtoto SAsa huu, hao sokwe wa SAsa mbona awabadiliki kuwa wanadamu sasa