Kobe Bryant dies in a plane crash

Wale watu kiingereza emu niambieni nimesoma pale juu wameandika "killed" nahisi maana yake kama atakua ameuliwa lakini wangeandika "dead" itakuwa amekufa kutokana na hiyo ajali. sasa sijuwi ni kosa la mwandishi au kama kuna siri ya kifo chake mtuambie
 
Kobe Bryant Helicopter Crash: Eight victims fully named

 
Huyu jamaa alikuwa na watoto wangap maana Mda wote public alikuwa na Giana
 
Ni sawa mbona, killed ni kuuwawa.. Inaweza kuwa kwa ajali ama na mnyama...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What a sad day[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] It hurts even more that his lovely daughter is also gone.God give his family strength to pass through this tough time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa alikuwa na watoto wangap maana Mda wote public alikuwa na Giana

Wasichana Wanne ila huyo GiGi alikuwa anacheza basketball [emoji459] na ni mpenzi mkubwa wa kikapu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Pole sana kaka...niliuguza babaangu na alinifia mkononi sijawahi kusahau Mungu atupe uvumilivu maana katika yy ndio amani hupatikana.
 

Huyu jamaa ilipokua academy yake na nyumbani kwake ni mbali na muda wote according to yy alitamani awe karibu na watu wake(familia) sasa akaona bora aingie gharama ya helicopter sababu uwezo alikua nao yaani ni km ww useme daladala inafanya nafika home late wife/husbnd na watt siwatendei haki ngoja ninunue pikipiki au gari ili niwe nawah kurudi niwe nao nisispend nje ya nyumbani kisa umbali..kifo ndio kikamkuta ndugu.
 
Huyu jamaa alikuwa na watoto wangap maana Mda wote public alikuwa na Giana

Ukiingia IG alikua akipenda familia yk yote sema Gigi aliekufa nae walikua wote
Ni basketballers yaani wote walikua na interest za kufanana ni km ww uwe unapenda watt wk wote ila kuna mmoja let say anapenda mpira au rede na wote mnapenda
Kitu hicho hicho. Mimi cwajui sana ila inauma acha tuu nishawah kuzika mzazi tungekufa wote lbd mana yng angejiua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…