Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawa mbona, killed ni kuuwawa.. Inaweza kuwa kwa ajali ama na mnyama...Wale watu kiingereza emu niambieni nimesoma pale juu wameandika "killed" nahisi maana yake kama atakua ameuliwa lakini wangeandika "dead" itakuwa amekufa kutokana na hiyo ajali. sasa sijuwi ni kosa la mwandishi au kama kuna siri ya kifo chake mtuambie
Hawa google duhDaaah. Ni kweli jamaa kavuta.
![]()
Kobe Bryant, 41, dies in helicopter crash in Calabasas, California
The 41-year-old NBA icon played for the Los Angeles Lakers. 9 people died in the accident, and the cause of the crash is still under investigation.www.google.com
R.I.PView attachment 1336251
Naam vyuma vipo vingi vilikuwa mahiri na hodari kisha wabishi kama detroit pistons ya akina joe dumas aah waqt umekwenda wapi?Mbona unamuacha Denis Roadman!
Huyu jamaa alikuwa na watoto wangap maana Mda wote public alikuwa na Giana
Kifo bhana, yaani jana jioni nilikuwa na bro tukaachana kila mmoja arudi kwake eti leo asubuhi naambiwa kaka yako amefariki usiku, amegongwa na gari daaaah yani hapa hata siamini kama jioni ya leo tumemzika.
Naona maluweluwe tu...
R.I.P Bro
R.I.P Kobe
Sent using mazonge yamezidi
😂😂😂
Kweli kifo hakichagui ila kuna wakati unajiuliza kwanini wanapenda usafiri wa helicopter wenye hela?
Halafu matokeo huwa mabaya tu
Nakumbuka miaka ya nyuma kuna Billionaire mmoja wa Kichina alienda France kununua chateau na shamba kubwa la chai na wine
Alienda akiwa na mke wake na mwanae wa miaka 12
Wakaondoka kwenda tour katika shamba kwa helikopter wakiwa na tajiri mwenye shamba na mwanae
Mke wake alikataa akiogopa helicopter
Kupaa tu haikufika mbali ikaanguka na kuuwa matajiri wawili pilot na mtoto
Daa kifo cha Kobe kimehuzunisha sana
Sent from my iPhone using Tapatalk
My their soul rest easy. God stand with their families give them joy to be happy again.
Amen!!View attachment 1336479
Sent using Jamii Forums mobile app
R.I.P GOAT Kobe Bryant and his Daughter MambacitaView attachment 1336513View attachment 1336515View attachment 1336517View attachment 1336519View attachment 1336521View attachment 1336523View attachment 1336524View attachment 1336527View attachment 1336528View attachment 1336529View attachment 1336531View attachment 1336532View attachment 1336533View attachment 1336534View attachment 1336535
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa alikuwa na watoto wangap maana Mda wote public alikuwa na Giana