Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa kama kweli alitabiri watu wataanza kumfuata awatabirie.Alitabiri kwa sababu kobe alikuwa addicted na helcopter
Allahu Akbar
Vp Trump hajatupia tweet kuhusu hiki kifo cha Kobe?Ajali ya ndege
That was not Prediction. It was a curse!!!He predicted!And its not edited,His death and the prediction,going Viral on twitter!Pumzika Kwa Amani Nguli wa mchezo wa Kikapu,Bingwa mara 5 wa mchezo wa kikapu (NBA 5 championships)
Sent using Jamii Forums mobile app
Trump dish lake lilivyo bovu anaweza kusema Kobe kauliwa na Iran.Vp Trump hajatupia tweet kuhusu hiki kifo cha Kobe?
katika hiyo ajali kuna mwanaye wa kike naye amefarikiuchunguzi