Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Hujui hata kusoma?Weka link sio screenshot porojo
Sent from my SM-J700H using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui hata kusoma?Weka link sio screenshot porojo
Dah taarifa zinasema mtoto wake Giana Maria nae amefariki.Bado upelelezi ufanyike kwanza maana hela ni shetani
Tusubiri uchunguzi kama ni ajali au ni kusudi
Sent from my iPhone using Tapatalk
Rest easy BriantTaarifa za awali zinadai kuwa Mcheza Kikapu mstaafu nchini Marekani, Kobe Bryant amefariki katika ajali ya Helikopta iliyotokea leo huko California
Kobe mwenye miaka 41 alikuwa miongoni mwa watu watano walikuwa wanasafri katika helikopta hiyo inayomilikiwa na Kobe ambayo imeanguka baada ya kuanza kuwaka moto agani
Polisi wanasema wanaendelea na uchunguzi kutokana na ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Calabasas na kwamba waliokuwemo ndani ya ndege wote wamefariki.
----
US basketball legend Kobe Bryant has been killed in a helicopter crash in California, US media report.
Bryant was travelling in a private helicopter when it burst into flames above the city of Calabasas, according to the reports.
The LA County Sheriff's department said that five people died in a helicopter crash in Calabasas on Sunday, with no survivors.
It did not immediately publish any names.
It said it received reports of the crash at about 10:00 local time (18:00 GMT).
Five-time NBA champion Bryant, 41, played his entire 20-year career with the Los Angeles Lakers. He retired in April 2016.
Bryant's achievements include being the 2008 NBA Most Valuable Player and two-time NBA Finals MVP. He was also two-time NBA scoring champion and a two-time Olympic champion.
He also won an Oscar for best short animated film in 2018 for for Dear Basketball, a five-minute film based on a love letter to the sport he had written in 2015.
This breaking news story is being updated and more details will be published shortly. Please refresh the page for the fullest version.
Source: BBC
It's truueee[emoji44][emoji44][emoji44]????He predicted!And its not edited,His death and the prediction,going Viral on twitter!Pumzika Kwa Amani Nguli wa mchezo wa Kikapu,Bingwa mara 5 wa mchezo wa kikapu (NBA 5 championships)
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Hiyo account post zake nyingine ni nini? Au post ni moja tu?
Vp Trump hajatupia tweet kuhusu hiki kifo cha Kobe?
Poleni sana mkuuKifo bhana, yaani jana jioni nilikuwa na bro tukaachana kila mmoja arudi kwake eti leo asubuhi naambiwa kaka yako amefariki usiku, amegongwa na gari daaaah yani hapa hata siamini kama jioni ya leo tumemzika.
Naona maluweluwe tu...
R.I.P Bro
R.I.P Kobe
Sent using mazonge yamezidi
Umelia[emoji44][emoji44]. Mimi imeniuma lakini kufika hatua ya kulia mbali mno kwa mtu ambaye sifahamiane naye wala hagusi maisha yanguNimelia Jamani. Imeniuma sana. Hapa ndo unasema maisha haya. Kobe alikuwa mtu poa sana.
Unafurahia kifo cha binadamu mwenzako??-- au hujui matumizi ya neno Allahu akbar??
Wewe mbuzi, mtu anaweza chukua tweet ya zamani akaedit. Tumia akili CCM mkubwa we
Mkuu kuna wa2 wana machozi ya karibuUmelia[emoji44][emoji44]. Mimi imeniuma lakini kufika hatua ya kulia mbali mno kwa mtu ambaye sifahamiane naye wala hagusi maisha yangu
Ha ha ha pole. R.I.P KB.Nimelia Jamani. Imeniuma sana. Hapa ndo unasema maisha haya. Kobe alikuwa mtu poa sana.
Zipo nyingi, nimemletea huyo mbwiga hapo juu inayohusuDuh! Hiyo account post zake nyingine ni nini? Au post ni moja tu?