Kobe Bryant dies in a plane crash

Kobe Bryant dies in a plane crash

Weka link sio screenshot porojo
Hujui hata kusoma?
Screenshot_2020-01-27-00-03-15-1.jpg


Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 


Kobe Bryant among 5 dead in a helicopter crash in southern California
 
Taarifa za awali zinadai kuwa Mcheza Kikapu mstaafu nchini Marekani, Kobe Bryant amefariki katika ajali ya Helikopta iliyotokea leo huko California

Kobe mwenye miaka 41 alikuwa miongoni mwa watu watano walikuwa wanasafri katika helikopta hiyo inayomilikiwa na Kobe ambayo imeanguka baada ya kuanza kuwaka moto agani

Polisi wanasema wanaendelea na uchunguzi kutokana na ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Calabasas na kwamba waliokuwemo ndani ya ndege wote wamefariki.


----
US basketball legend Kobe Bryant has been killed in a helicopter crash in California, US media report.

Bryant was travelling in a private helicopter when it burst into flames above the city of Calabasas, according to the reports.

The LA County Sheriff's department said that five people died in a helicopter crash in Calabasas on Sunday, with no survivors.

It did not immediately publish any names.
It said it received reports of the crash at about 10:00 local time (18:00 GMT).
Five-time NBA champion Bryant, 41, played his entire 20-year career with the Los Angeles Lakers. He retired in April 2016.

Bryant's achievements include being the 2008 NBA Most Valuable Player and two-time NBA Finals MVP. He was also two-time NBA scoring champion and a two-time Olympic champion.

He also won an Oscar for best short animated film in 2018 for for Dear Basketball, a five-minute film based on a love letter to the sport he had written in 2015.

This breaking news story is being updated and more details will be published shortly. Please refresh the page for the fullest version.

Source: BBC
Rest easy Briant
 
RIP Gianna Maria Onore -- aka GiGi.
Kaondoka mdogo sana hajaenjoy maisha kivile!!!
Wanafamilia wapo kwenye wakati mgumu sana!!!

20200126_235913.jpg
 
Kifo bhana, yaani jana jioni nilikuwa na bro tukaachana kila mmoja arudi kwake eti leo asubuhi naambiwa kaka yako amefariki usiku, amegongwa na gari daaaah yani hapa hata siamini kama jioni ya leo tumemzika.
Naona maluweluwe tu...
R.I.P Bro
R.I.P Kobe

Sent using mazonge yamezidi
Poleni sana mkuu

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Dah mke wake yupo katika kipindi muhimu sana. Unafiwa na mume na mtoto. Mara nyingi huwa anaenda nae kuangalia basket ball.
 
Back
Top Bottom