Kobe Bryant dies in a plane crash

Zipo nyingi, nimemletea huyo mbwiga hapo juu inayohusu

Sent from my SM-J700H using Tapatalk

Hizo nyingine kapost nini? Hajapost kuhusu huku kwetu afrika ya mashariki na ya kati? Cheki kama kapost kitu kuhusu Tanzania.
Tuma screenshot tuone sisi tunaotumia freebasics.
 
The Sikorsky S-76 helicopter....
Imetengenezwa wapi?

View attachment 1336292
Ndo brand ya kwanza ya helicopter hii. Igor Sikorsky jamaa Mrusi ndo aligundua Helicopter na kuhamia U.S ndo ikaanzishwa kampuni hii. Wababe sana kwenye fani hii hata Boeing, Bell na Mangusta wanasubiri. Tena wanaspecialize kwenye copter tu.
 
Halaf kumbe alikua akiikodisha. Hakununua
 
Pole sana.Kifo cha ghafla kama ajali kinashtua mno na inachukua muda sana kukubali ukweli. Nawaombea faraja ya Mungu iwafunike wewe na familia yako pamoja na ya Kobe na water walioguswa na misiba hii.Amen

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejaribu kusoma zaid kwenye hiyo tweet IT guys wako wanaelezea namna jamaa alivoedit. Kuna nilomwona majuzi akitype mwishoni pale inaandika twitter for condom, wakati sisi inaandika for iphone/android
 
Hizo nyingine kapost nini? Hajapost kuhusu huku kwetu afrika ya mashariki na ya kati? Cheki kama kapost kitu kuhusu Tanzania.
Tuma screenshot tuone sisi tunaotumia freebasics.
Haamini kilichotokea na anajaribu kuomba msamaha kwa utabiri wake

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Duh! Teknolojia na yenyewe ni mbaya sana. Ishu ya 2012 inaibuka leo 2020, macho yote kwa mtabiri.

Mimi nahisi kaedit
Anyway siyo jambo la ajabu mtu kutabiri jambo la likatokea hata kama hakumaanisha linaweza kutokea pia. So lets us dont take it seriously

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Kobe Bryant's daughter Giana,13 also was on the plane. She has died along her father. What a sad story to tell.

Lord please protect your children from evil.

Rest In Power
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…