ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
NA MWANAE GIGY RIPDaaaah!!!!!!!!!! R.I.P Kobe Bryant aka Mamba.
What does it meanWote mliokomenti nimeona hamna uelewa juu ya kitu kiitwacho Futurology. Ndio maana mwashangaa na kuona labda jamaa Mchawi/Freemason
Walikuwa 9 pamoja na pilot wao. Helocpter ile huchukua abiria 13. Helicopter ile Sikorsky S-76B ni maarufu sana kwa ma VIP wengi, hata Trump aliwahi kuwa nayo; imetengezwa na Lockheed Martin ambao ni watemi kwa mambo ya zana za kijeshi. Mashahidi walioiona wanasema ilionekana inaruka chini sana tena kwa taabu, kwa hiyo haijulikani kama ilikuwa na mzigo mzito sana, kwani siku chache za nyuma ilionekana ikiwa ilikuwa inaruka vizuri tu.Traveling in his private helicopter, Bryant and four others crashed over Calabasas on Sunday morning, TMZ reported. Emergency personnel responded, but there were no survivors. His wife and four daughters are said to have not been among the deceased.
Five people confirmed deceased, no survivors in #Calabasas helicopter crash. #LASD #Malibu deputies remain with #LA County Fire personnel. Investigation ongoing.
R.I.P King Kobe.
Sawa kakaWalikuwa 9 pamoja na pilot wao. Helocpter ile huchukua abiria 13. Helicopter ile Sikorsky S-76B ni maarufu sana kwa ma VIP wengi, hata Trump aliwahi kuwa nayo; imetengezwa na Lockheed Martin ambao ni watemi kwa mambo ya zana za kijeshi. Mashahidi walioiona wanasema ilionekana inaruka chini sana tena kwa taabu, kwa hiyo haijulikani kama ilikuwa na mzigo mzito sana, kwani siku chache za nyuma ilionekana ikiwa ilikuwa inaruka vizuri tu.
Amina.Pole sana.Kifo cha ghafla kama ajali kinashtua mno na inachukua muda sana kukubali ukweli. Nawaombea faraja ya Mungu iwafunike wewe na familia yako pamoja na ya Kobe na water walioguswa na misiba hii.Amen
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna taarifa zingine kwamba hali ya hewa haikuwa nzuri(ukungu) na humidity kali.Walikuwa 9 pamoja na pilot wao. Helocpter ile huchukua abiria 13. Helicopter ile Sikorsky S-76B ni maarufu sana kwa ma VIP wengi, hata Trump aliwahi kuwa nayo; imetengezwa na Lockheed Martin ambao ni watemi kwa mambo ya zana za kijeshi. Mashahidi walioiona wanasema ilionekana inaruka chini sana tena kwa taabu, kwa hiyo haijulikani kama ilikuwa na mzigo mzito sana, kwani siku chache za nyuma ilionekana ikiwa ilikuwa inaruka vizuri tu.
Inachukua muda kukubaliana na hali aisee.Pole sana Hommie kifo cha kustukiza kinauma sana.
Daah acha tu mzee, ahsante.Pole ndugu yangu
Nilipoteza kaka mwezi December i can feel your pain
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza eyewitness hapa. Ukungu hautoshi kuifanya helicopter ya aina hiyo ianguke mlimani kwa vile ina altitude sensors zinazoiwezesha kuruka hata usiku.Kuna taarifa zingine kwamba hali ya hewa haikuwa nzuri(ukungu) na humidity kali.
NTSB wameingia kazini. So sad!
He said ,”terrible newsVp Trump hajatupia tweet kuhusu hiki kifo cha Kobe?
Nimejikutwa napatwa na ganzi ghafla.
We jamaa ni bonge la fala.Wewe mbuzi, mtu anaweza chukua tweet ya zamani akaedit. Tumia akili CCM mkubwa we