Kobe Bryant dies in a plane crash

Kobe Bryant dies in a plane crash

Simple stuff.

Jamaa alitweet siku ambayo kobe alimpakia mchezaji mwenzie kwenye helicopter na kumpa a ride of his life. It was on the news

Aliyetweet akaona ajipostie tu.

Ni sawa na wale wachezea magari waliokufa Arusha, one would have been right to tweet years before that jamaa atakujq afe kwenye hiyo gari. Does not make it a prediction.

Kila siku tunapredict vifo vya watu ila hatuvitweet ndio maana hatukumbuki.
 
So painful
Ma.condolence
Screenshot_20200127-024533.png
Screenshot_20200127-024458.png
Screenshot_20200127-024533.png
Screenshot_20200127-024458.png
.to his.family omg
Be strong Vanessa lord b with u all
 
Traveling in his private helicopter, Bryant and four others crashed over Calabasas on Sunday morning, TMZ reported. Emergency personnel responded, but there were no survivors. His wife and four daughters are said to have not been among the deceased.
Five people confirmed deceased, no survivors in #Calabasas helicopter crash. #LASD #Malibu deputies remain with #LA County Fire personnel. Investigation ongoing.

R.I.P King Kobe.
Walikuwa 9 pamoja na pilot wao. Helocpter ile huchukua abiria 13. Helicopter ile Sikorsky S-76B ni maarufu sana kwa ma VIP wengi, hata Trump aliwahi kuwa nayo; imetengezwa na Lockheed Martin ambao ni watemi kwa mambo ya zana za kijeshi. Mashahidi walioiona wanasema ilionekana inaruka chini sana tena kwa taabu, kwa hiyo haijulikani kama ilikuwa na mzigo mzito sana, kwani siku chache za nyuma ilionekana ikiwa ilikuwa inaruka vizuri tu.
 
Sawa kaka
 
Kuna taarifa zingine kwamba hali ya hewa haikuwa nzuri(ukungu) na humidity kali.
NTSB wameingia kazini. So sad!
 
Kuna taarifa zingine kwamba hali ya hewa haikuwa nzuri(ukungu) na humidity kali.
NTSB wameingia kazini. So sad!
Sikiliza eyewitness hapa. Ukungu hautoshi kuifanya helicopter ya aina hiyo ianguke mlimani kwa vile ina altitude sensors zinazoiwezesha kuruka hata usiku.
 
Ndio nimejua kwa nini Kuna mwana Niliona kaandika jina lake Sehem fln, sikuelewa...

KB24/Vino/Black mamba ni juzi tuu alihudhuria game Lakers,

R.I.P shooting Guard of the lakers...
Ukisema usome records zake Utaishia kuchelewa kazini...
Imefika hatua akaanza kuvunja records zake mwenyewe.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom