Kobe Bryant dies in a plane crash

Kobe Bryant dies in a plane crash

Yes kifo hakina mazoea ila kuna vitu vya kujifunza na leo baada ya kusoma history yake. Sisi huku kwetu tunaweza kuwa maskini au tunajiweza kiasi ila tuna tamaduni ambazo ni lazima tuzipiganie maisha yetu yote. Kubwa kuheshimu wazazi wetu hata pale wakiwa kama wamekosa ila hawa wenzetu kwao ni wao tu na kutengeneza image zao na kukusanya utajiri sio kitu kibaya ila ukisikia mtu haongei na wazazi wake kwa miaka 3 bado kweli utakuwa na amani nafsi yako. na ukisoma wazazi wake walimsaidia sana kuwa hapo alipo lakini alienda public kuwashutumu na kuwafanya wamuombe msamaha public huko ni kudhalilisha wazee na hapa nasema hata kama wazazi wana makosa sisi hatuna tabia hizo unaweza kuwa tajiri mkubwa na ukawa huna amani. Tulinde tamaduni zetu kwa hali na mali. Hata dini zetu zinasema tuwafanyie ihsani wazee wetu. RIP mengine Mungu anajuwa kusamehe sio sisi.
 
.
IMG-20200127-WA0011.jpeg


Jr[emoji769]
 
Mkuu nina Rafk yangu wa kike akipita hata njiani akiona msiba....
Utabembeleza mpk mnafika mwendako...

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifanya nicheke Mkuu! Ni kweli, kuna watu nahisi wana kipaji cha kulia na kuhuzunika. Mie nina rafiki yangu nikimueleza habari yoyote ya msiba/ugonjwa, maneno yake ni "I am soo devastated, heartbroken, this is sooo sad" .
 
Roho za wote waliofariki katika ajali hii, zipumzike kwa amani!!!
 
Back
Top Bottom