Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh .life is too short😭😭😭😭😭
Anaonekana anapendana sana na binti yake huyu na ndo maana MUNGU kawachukua wotee.da so sadmwanamichezo nyota wa mpira wa kikapu nchini marekani katika ligi maarufu ya nba amefariki pamoja na binti yake katika ajali ya helicopter...nipigo kwetu wapenz wa mpira wa kikapuView attachment 1336378
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inatengenezwa na Sikorsky kampuni ya mmarekani mwenye asili ya Usoviet na binadamu wa kwanza kuunda Rotary Plane. Nadhani ndo kampuni ya kwanza kwa helicopter bora duniani