Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Niliwahi kutembelea Meserani snake park huko Arusha, sikuwa na idea na baadhi ya nyoka, je huyu mdudu anapatikana pale? Na pia kuna snake park moja pale Mapinga Bagamoyo ningependa kujua kama wapo ili nifanye utalii wa ndani tena
Mimi nilitembelea pale Meserani mwaka 2007 alikuwepo mdogo sijui kama bado yupo.
 
Kobla naskia akiingia ndani utamsikia tu maana huwa anagonga gonga chochote mbele yake..akiingia jikon utaskia masufuria yanavyogongwa akikuta umelala hajali anakugonga ivo ivo
Duuuuu kwa hiyo yeye akiingia ni ngwasuma kwa kwenda mbele?
 
Kwaio wajeda wanaundugu namijoka au nyie miili yenu ina ant venon
 
Mimi nilitembelea pale Meserani mwaka 2007 alikuwepo mdogo sijui kama bado yupo.
Mimi nilikuwepo 2013 ila sikuwa na idea nilikuwa nawaangalia nyoka kwa ujumla wake, japo walikuwa wanatueleza wenye sumu kali na wa kawaida, nafikiri inahitajika kurudi tena kwa lengo la kumuona huyu mdudu
 
Ingekua vyema mngetupa na njia za kujikinga Kwa maana ya first aid..
 
Acha uongo kigoma kuna mbuyu???

Hata wa dawa hakuna
 
While feeding a 5-year-old male black mamba, a 34-year-old snake breeder suddenly noticed a tiny bloody mark on his forearm and, at the same time, a slight tingling of his lips. He immediately realized that he had been bitten and called a befriended snake expert to seek advice. The patient was thus able to provide the first responders with detailed information about the snake and on where to obtain the corresponding antivenin. He instructed his wife to apply a pressure bandage to the forearm. Within the next five minutes, chest tightness, generalized paresthesia, and fasciculation occurred. Upon arrival of the ambulance, the patient was unable to walk, was tachypneic, and had prominent dysarthria. Assuming a concomitant allergic reaction, the paramedics administered methylprednisolone, clemastine, and adrenaline before transferring the patient to the nearest hospital. In the meantime, the Swiss helicopter ambulance collected the antivenin from one of the 8 national antivenin depots.

Forty minutes after the bite, the patient arrived in the emergency department, complaining of worsening fasciculations and paresthesia affecting the extremities and the face. On physical examination, he was fully conscious with a heart rate of 105/min and a blood pressure of 165/80 mmHg. He was tachypneic at 30/min. Pulse oximetry revealed an oxygen saturation of 95% on room air. There were two tiny puncture wounds with local swelling and redness on the left forearm. Motor function was normal, except for mild ptosis. Seventy minutes after the bite, the patient was given 2 vials (20 ml) of “SAMIR Polyvalent Snake Antivenin” together with 2.5 mg of IV midazolam for ongoing hyperventilation. Thereafter, the patient was transferred to our tertiary intensive care unit for further treatment.

Upon arrival in our ICU, the patient was hemodynamically stable but still tachycardic and tachypneic. Fasciculations, dysarthria, and ptosis had slightly improved. ECG showed a grade 1 atrioventricular block without any other abnormalities. Initial laboratory tests were unremarkable, apart from moderate respiratory alkalosis. Over the next few hours, sweating, chills, and difficulty with swallowing as well as nausea occurred. However, the airway was never compromised, coughing reflex was intact, and respiratory failure did not occur. Therefore, and because of initial concerns about a possible allergic reaction, we decided against further antivenin administration. On the next day, symptoms of envenomation had improved, but the patient developed cellulitis of the bitten forearm and rhabdomyolysis, with a peak serum creatine kinase level of 16,049 U/L. Upon treatment with intravenous fluids and amoxicillin/sulbactam, his condition gradually improved. After four days in the hospital, he was discharged home with muscular pain as the only residual symptom. A few weeks later, the patient had fully recovered.
 
Ingekua vyema mngetupa na njia za kujikinga Kwa maana ya first aid..
Kweli tangu uzi umeeanza kila mmoja anawaza kufa kufa tu
Lakini hakuna aliejaribu kutoa njia za kujisaidia pindi tunapopata masaibu haya.

Kwanza wapo nyoka zaidi ya aina 300 Tanzania na wengi hawana sumu, ili kujua mtu kaumwa na nyoka mwenye sumu utaona alama mbili hizo ni fangs ujue hapo sumu imeingia.

Na sumu zinatofautiana kwa kuushambulia mwili
Hapo kwanza usipoteze muda wa kuanza kumkimbiza nyoka ila shughulika na majeruhi kwanza, mlaze vizuri na mpe faraja awe calm kwani aki panic sumu inatambaa upesi zaidi
Ni vizuri kama una kitambaa umfunge juu ya jeraha (usikaze sana) ni kuzuia sumu isipande kwenye moyo haraka.
Usijaribu kupasua kwa wembe au kisu sehemu ya jeraha wala kuweka maji au barafu.

Na pia kuna wengine huwa wanaomba pombe kama ni mlevi usimpe hata kama akikuambia roho inachomoka nipe nipunguze maumivu. Usimkubalie kabisa kwani pombe na sumu haviendani.

Tafuta usafiri haraka na kumpeleka hospital au kwa wengine wapo wataalamu
Sumu ya koboko inauwa lakini inatibika pia wakiwahi kwa dawa na kama siku zako bado kwa tunaoamini
 
Hata ukifanikiwa kupata antivenin inatakiwa udungwe 5 Vials halafu uwezekano wa kupona unakuwa asilimia hamsini kwa sababu mwili huwa unakataa hizo antivenini na allergic reaction ndio mwisho wa maisha.
Hivi dawa hospital si ghali sana
Maana kama nakumbuka kuna wakati walisema imefika laki tatu
 
Huyu koboko ni nadra sana kupona akikugonga!. Lakin ukiwahiwa unaweza pata tiba hasa hasa hizi zinazoitwa za kienyeji.
Ukifika Pawaga (tarafa) kijiji kinaitwa Magwagu kuna mzee mmoja ni mtaalam sana wa kutibu waathirika wa nyoka aina zote. Nakumbuka kuna mwaka nlikuwa huko nlipata story za huyu mzee but sikubahatika kuongea nae kirefu nlipanga siku niende nikamdodose
 
Mkuu hakuna tiba ya nyoka huyo. Ukigongwa na koboko huwei hatachukua dakika 40. Unakufa umebadilika rangi. Nyoka huyu anaogopwa mno kwani, wazee wenye utaalamu wa kumtibu mtu aliyegogwa hawapatikani katika maeneo mengi. Mimi niliwahi kusimuliwa na mzee mmoja ambaye alikuwa anajua dawa hiyo, na alisema ni majani fulani porini, lakini aligoma kuniambia kabisa,
 
Mkuu ninavyofaham ni kuwa aina yoyote ya sumu ya nyoka ina "antidote". Kuna antidote specific kwa aina fulani ya sumu na antidotes zingine ni za jumla.
Mara nyingine sio lazima kutumia antidote bali wataalam wa afya hutumia njia zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…