T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
[emoji23] [emoji23]Duhhhh viumbe wengine bora majini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]Duhhhh viumbe wengine bora majini
Utakuwa G4 wewe[emoji1]Brother mimi mwenyewe nipo [B[USHIROMBO[/B] mwaka wa 8 huu na nimetembea kote MNEKEZI,BULEGA, KAKOYOYO,LUREMBELA,NYAMPLALA, BUTUBRI Sijawahi kusikia koboko wala nini isipokuwa COBRA ,CHATU ndo wanapatpatikana sana sasa wewe naomba unieleze huyo koboko wako ulimuonea barabara gani hapa USHIROMBO
huyo nyoka kwa wanaomfahamu hawaweze kubisha,,mim nilikuwa siamini habar zake ila cku niliyoshuhudia mabalaa yake stak hata kumsikia kwanza koboko kadiri anavyozidi kugonga ndiyo na hasira zinamzidi ukikuta kagonga ng'ombe kumi bas huyo ngombe wa kumi mshndo akao kuwa kapigwa sio wa nchi hii kuna miti fulan hv huwa wanatumia kumuulia huwa ni xa kijan kabisa lakin huwa anaipiga mpaka inabadikika rangi inakuwa ya kahawiaHiyo ya kioo kuna koboko aligonga windscreen ya Scania ile sumu ilitapakaa kioo kizima, watu wengi hawawezi kuamini lakini kile kioo kiliharibika maana kwenye jua huoni kabisa maana mwanga unakuumiza kama kioo kilichoharibika kwa mchanga mda mrefu
malizia basihuyo mtaalam... huwa hafanyi makosa akiwa kazini, kipind cha zaman kidogo.... wazungu walienda tabora... wakasikia habari ya kiumbe huyu( kama ilivyo marufuku kumtaja jina)... wakabisha sana juu ya habar zake... maana wao walikuwa wanaamin hakuna kama cobra..
shauku ilivyowajaa... wakatoa dau zuuri... kwa kijana atakayemkamata 'mtaalam' na kuwaletea..... ghafla akajitokeza masai mmoja kwa kujiamin.. kuwa wampe siku tatu... atakuwa ameshamkamata....
masai akazama vichakani.... katika kupitapita... akamkuta mtaalam anakula asali..... masai akamvalisha gunia mtaalam pamoja na mzinga wa asalii.....
aisee... itaendelea... nisije nikafungua uzi ndan ya uzi....
Mkuu hakuna tiba ya nyoka huyo. Ukigongwa na koboko huwei hatachukua dakika 40. Unakufa umebadilika rangi. Nyoka huyu anaogopwa mno kwani, wazee wenye utaalamu wa kumtibu mtu aliyegogwa hawapatikani katika maeneo mengi. Mimi niliwahi kusimuliwa na mzee mmoja ambaye alikuwa anajua dawa hiyo, na alisema ni majani fulani porini, lakini aligoma kuniambia kabisa,
Ushahidi unaonyesha kuwa ukiwa na bahati unaweza kupona,kuna watu kama wawili hivi waliogongongwa na Koboko na kulazwa ICU na kuwekwa kwenye Life Support Machine bila ya Antivenin na kwa bahati nzuri walipona,tukio hili lilotokea huko Zimbabwe.Mkuu hakuna tiba ya nyoka huyo.
Naona kwa mwezi huwezi kamata Cobra aliyeshiba I mean lile kubwaMwezi tu! Kumbe sio ngumu
Yupo snake park Bagamoyo, black mamba, green mamba, puff adder, chatu, na wengine nimewasahau. Huyo green mamba yeye anaitwa nyoka mbea zaidi. Akiona kijiwe cha watu wanapiga story, naye anakuja anakaa karibu kusikiliza. Mara kadhaa hujisahau na kuanguka, hapo ndipo tafrani hutokea, kila mtu na njia yake.Niliwahi kutembelea Meserani snake park huko Arusha, sikuwa na idea na baadhi ya nyoka, je huyu mdudu anapatikana pale? Na pia kuna snake park moja pale Mapinga Bagamoyo ningependa kujua kama wapo ili nifanye utalii wa ndani tena
Acha usefengeet kwamfano mm ni koboko nikikung'ata utakufa au maana nnae koboko wangu apa
Mkuu hembu kuwa mstaarabu malizia hii storyhuyo mtaalam... huwa hafanyi makosa akiwa kazini, kipind cha zaman kidogo.... wazungu walienda tabora... wakasikia habari ya kiumbe huyu( kama ilivyo marufuku kumtaja jina)... wakabisha sana juu ya habar zake... maana wao walikuwa wanaamin hakuna kama cobra..
shauku ilivyowajaa... wakatoa dau zuuri... kwa kijana atakayemkamata 'mtaalam' na kuwaletea..... ghafla akajitokeza masai mmoja kwa kujiamin.. kuwa wampe siku tatu... atakuwa ameshamkamata....
masai akazama vichakani.... katika kupitapita... akamkuta mtaalam anakula asali..... masai akamvalisha gunia mtaalam pamoja na mzinga wa asalii.....
aisee... itaendelea... nisije nikafungua uzi ndan ya uzi....
kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan usikute ndio lililomdanganya na Eva kule bustanini
toa taarifa bro ase uyu mdudu ni shigidy japo Mungu anatulindaHuu uzi umeniogopesha sana,ila naweza kukubaliana
na wale wanaosema huyu nyoka ni hatari lakini ni mpole
pale ambapo hajachokozwa au kujihisi hayupo salama.
sababu moja hii.
Mdogo wangu anaishi tabora na huwa anatabia ya kwenda
kwenye sehemu za pori,siku moja akaenda na rafiki yake
kupunga upepo maeneo hayo aliyozoea kwenda.
wakiwa maeneo hao wakasikia sauti ambayo mdogo wangu
anasema huwa anaisikia mara kwa mara akiendaga ila
huwa anaipotezea kwani hiyo sauti ni kawaida kuisikia
kijijini kwetu kila siku usiku,na tuliaminishwa kuwa
ni sauti ya wanyama wadogo wanaokulaga ndizi,yule rafiki yake
akamwambia tuondoke haraka maeneo haya,hiyo ni sauti
ya koboko.Akakubali wakaondoka mara moja.
Aliponijulisha habari hii nikagoogle ili nione
tabia za nyoka huyo hatari nikagundua anapenda
kukaa kwenye misitu yenye giza na ni nadra sana
kumuona kama hajapenda kujitokeza umuone.
Nikakumbuka kuna kimsitu jirani na nyumbani
kwetu,ni kidogo ila kina kigiza fulani hivi hata mchana
na sisi tulikuwa tunapenda sana kwenda humo
kutafuta kuni na matunda pori,ila hatujawahi
kumuona wala kufukuzwa japo usiku lazima
tusikie sauti hizo zikitokea humo msituni.
Ninapoendelea kusoma habari hizi
natamani niwajulishe ndugu zangu kule
nyumbani wasiwe wanaenda humo msituni
maana huwezi kujua ni lini huyu mdudu
anaweza kubadirisha utaratibu wa maisha.
japo ni miaka mingi tunaishi pale kwa amani.
Ni miaka ya nyuma sana ndo baba mmoja
aliumwa na nyoka wa aina hiyo alimrukia
kutokea kwenye mti na hakupona
ila mazingira ya mbali na hicho kimsitu.
Unaijua ile feeling unapotaka kupiga chafya unaisubiria na mdomo unauandaa kama koboko anataka kung'ata halafu ghafla chafya inapotea.Mkuu hembu kuwa mstaarabu malizia hii story
Hakika huyo ndo koboko tena yule aliekomaaWapo wanaoacha meno pale alipogonga lakin kwa koboko ni habari nyingine. Kama ni uwanjani anaweza kugonga wachezaji wote wa timu zote mbili tena kwa kiwango kile kile cha sumu bila kupunguza. Mdomo wake ni jeneza mkuu
Hawa ni viumbe kama viumbe wengine kuna wakati wanapigwa na wakubwa wao na kuamua kusepa na kuishia kukaa karibu na watu kama ndio ndugu zao tenaHuu uzi umeniogopesha sana,ila naweza kukubaliana
na wale wanaosema huyu nyoka ni hatari lakini ni mpole
pale ambapo hajachokozwa au kujihisi hayupo salama.
sababu moja hii.
Mdogo wangu anaishi tabora na huwa anatabia ya kwenda
kwenye sehemu za pori,siku moja akaenda na rafiki yake
kupunga upepo maeneo hayo aliyozoea kwenda.
wakiwa maeneo hao wakasikia sauti ambayo mdogo wangu
anasema huwa anaisikia mara kwa mara akiendaga ila
huwa anaipotezea kwani hiyo sauti ni kawaida kuisikia
kijijini kwetu kila siku usiku,na tuliaminishwa kuwa
ni sauti ya wanyama wadogo wanaokulaga ndizi,yule rafiki yake
akamwambia tuondoke haraka maeneo haya,hiyo ni sauti
ya koboko.Akakubali wakaondoka mara moja.
Aliponijulisha habari hii nikagoogle ili nione
tabia za nyoka huyo hatari nikagundua anapenda
kukaa kwenye misitu yenye giza na ni nadra sana
kumuona kama hajapenda kujitokeza umuone.
Nikakumbuka kuna kimsitu jirani na nyumbani
kwetu,ni kidogo ila kina kigiza fulani hivi hata mchana
na sisi tulikuwa tunapenda sana kwenda humo
kutafuta kuni na matunda pori,ila hatujawahi
kumuona wala kufukuzwa japo usiku lazima
tusikie sauti hizo zikitokea humo msituni.
Ninapoendelea kusoma habari hizi
natamani niwajulishe ndugu zangu kule
nyumbani wasiwe wanaenda humo msituni
maana huwezi kujua ni lini huyu mdudu
anaweza kubadirisha utaratibu wa maisha.
japo ni miaka mingi tunaishi pale kwa amani.
Ni miaka ya nyuma sana ndo baba mmoja
aliumwa na nyoka wa aina hiyo alimrukia
kutokea kwenye mti na hakupona
ila mazingira ya mbali na hicho kimsitu.
AsanteMsichanganye vitu,
Koboko(black mamba) wako was aina moja na wote wanatabia zilezile
Ila
Puff adder( kifutu) wako aina wengi sana duniani.
Puff adder Wenye sumu Kali sana, ni wale wa Jangwani na maeneo yenye ukame sana.
Hawa wakikugonga, huchukui ddk 15 ile sehem ulogongwa inaanza kuoza.
Ijapokua hufi haraka.
Ila kwa black mamba, hakuna mbwembwe za kuanza kuoza.
Kinachotokea ni kuanza kubadilika rangi ya ngozi kua black/blue
Kisha ndani ya 10-20min baada ya kugongwa, Inakua ni kifo.
BLACK MAMBA AKIKUGONGA UTAKUFA HARAKA SANA,
ILA KIFUTU AKIKUGONGA, HUFI HARAKA,BALI UTATESEKA SANA.
Hapana ni Nyegere Also Known As Honey BadgerPamoja na ukali wake wote, nyoka huyu anamuogopa mnyama mmoja mdogo sana aitwaye Nguchiro (Mongoose).
NenoKoboko wapo kama aina mbili ivi Black mamba na green mamba