Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Labda kama kuna pikipiki za auto sikuizi, yaaani uwe unasubiriwa tu umalize kufanya gear shift kutoka #1 hadi 4... Nadhani pikipiki ni hatari zaidi kuliko gari. Utadokolewa tu miguuni au mgongonibc sawa najua kama nina pkpk hanipati