Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Niliwahi kutembelea Meserani snake park huko Arusha, sikuwa na idea na baadhi ya nyoka, je huyu mdudu anapatikana pale? Na pia kuna snake park moja pale Mapinga Bagamoyo ningependa kujua kama wapo ili nifanye utalii wa ndani tena
Mikumi nilimkuta 2009[emoji216]
 
Ungemuona anakufuata ungechukua uamuzi gani?
Binafsi ninapoenda kijijini na kutembelea porini muda wote huwa nahakikisha sime lipo kiunoni, yaani ama zangu ama zake

Pale ilikua ni teke, vumbi na mbio..
 
Starling akimzonga Koboko kila aendapo mpaka koboko anaona kero na kuambaa zake,ukiwa porini halafu ukamuona ndege huyu anaimba imba sana,kaa chonjo ukiangalia vizuri utamuona Koboko.
2604842108_85d57ac987_b.jpg
 
Huyu nyoka nilishamkanyaga kwa pikipiki bila ya kumpasua na alidunda na kuruka kwakua nilikua spidi sana nilisimama mbali kwa woga nika iacha pikipik nikaikagua sikumuona niliporudi mahali nilipomkanyaga sikumkuta hata damu hamna so inawezekana ni mgumu sana
Umefanya kosa kurud mana huyu mdudu anakisasi sana pia unashukuru hajamua kukufanyia ambush napikpik yako ungeisoma
 
Anakula sana bangi,thus why ukilima shamba la bangi na akawa anashinda humo,anakuriri hakudhuru ila sasa aingie mwizi kuiba atamshughulikia. Ni mlinzi mzuri
Ila kwenye hili halina ushahidi inaweza ikawa ni myth tu,kama kuna mtu alishawahi kuliona tukio hilo ni vizuri aweke kisa hapa.
 
Anakula sana bangi,thus why ukilima shamba la bangi na akawa anashinda humo,anakuriri hakudhuru ila sasa aingie mwizi kuiba atamshughulikia. Ni mlinzi mzuri
Wacha nilime Bhangi kisha nikishajua mshkaji anatia timu, naenda kuripoti polisi nawaambia nimeona shamba la bhangi nendeni mkazing'oe lipo sehemu fulani
 
Mbio zamashindanon tena mkiwa uwanjan nitofaut nambio yakukimbizwa tena porin, ukchanganya woga,mawenge namajan huchukui round ushakula kiss of death
Sio kweli, kwenye hatari hata mremavu wa miguu atatimua mbio,

Mi nilikuwa na Bibi yangu (R.I.P.) ye alikuwa muda wote analalamika miguu inauma, sasa kuna siku tulikaa nje usiku mida ya saa mbili hivi tunaongea mawili matatu, huku nikimsubiri mjomba arudi ile mjomba kutokea bibi akasema, "Naona kama mtu anakuja", hapo tayari kishafika mlangoni, nilicheka siku ile maana alivyonyanyuka faster na kukimbia nilishangaa, maana ye siku zote alikuwa analalamika miguu inauma, ... leo kakimbia!!!!?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
WaZimbabwe wana amini kuwa Koboko akizidiwa na sumu huwa anatafuta Nyati au Ng'ombe jike halafu huwa ananyonya maziwa kidogo akimaliza sumu yake huwa Level.
 
na je ina maana ana ugumu wa aina gan kias ata akanyagwe na gar hafi ???? na nilickia pia wanamhusisha na nguvu za giza.....kiumbe wa ajabu je ni kwel??
Ni navyojua sio kwamba akikanyagwa nagari hafi, isipokuwa kwa sababu ya Uwezo wake Mkubwa wa spidi ni vigumu sana kumkanyaga. Ila anachokifanya atakaa huko chini ya gari na utasafiri nae weeee ila ukifika tu utakaposhuka ndio utakutana na cha mtema kuni.
 
Wacha nilime Bhangi kisha nikishajua mshkaji anatia timu, naenda kuripoti polisi nawaambia nimeona shamba la bhangi nendeni mkazing'oe lipo sehemu fulani
wamekufanya nini hao polisi we mjamaa?
 
Imethibitika kuwa koboko wana uwezo wa kutambaa wakiwa zaidi ya wawili,hilo ni jambo jipya katika ulimwengu wa nyoka.
 
Huyu nyoka dawa yake ipo,


Kuna wazee hapo tabora anaweza kukutibu wewe kwa kutumia Mimi, yaani Mimi ndo naenda kutibiwa badala yako wewe ulieumwa na huyu nyoka,


Ni ngumu kuelewa lakini ndo ukweli huo.
 
Back
Top Bottom