Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Hahahaha ni Secretary Bird nimejaribu kuangalia anaitwaje Google eti KATIBU yaani hivi huyu mkalimani nani alimruhusu?
Mwenye kumjua jina lake atatusaidia
Huyo mkakimani atakuwa nandamu ya Chadema
 
Hivi na ndumila kuwili yale hayana kichwa nao ni vipi? Sijasikia akitajwa hapa
 
Yes...Steve kuna siku niliona anacheza na croc. Mkubwa kinoma, yaani anamchezea kama mwanasesere vile!

Eti kaja kuuliwa na haka kasamaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hawa samaki wanaliwa na binadamu?
Du kumbe ulikuwa unamwangalia Steve
Yaani alikuwa anawachokoza mamba na wenye watoto na kukimbia hahaha yaani jamaa alikuwa comedy kweli
Na yes taa analiwa vizuri tu huko Singapore na malaysia lakini kwetu sijui lakini ni mboga tamu

Alichomwa direct kwenye moyo yaani sindano iliingia palepale na kufa
 
Fakeni kweli! Arekodiwe huku anakata roho[emoji15] [emoji15] wazungu hamnazo kweli!

Yule si huwa anatembea na madokta? Ilikuwaje kafa kizembe hivyo?
Alikuwa anajua atakuja uliwa na wanyama tu
Kila wakati alikuwa anasisituliza waendelee kurekodi tu
Mpaka siku anachomwa na taa video yake ipo unaweza kuiona ingawa mwanzo waliificha
 
Wakuu naomba kuuliza ,hivi ni kwa nini
black mamba ndo anatajwa sana
kuliko green mamba au yule wa kijani
hana matata?
Kule saba saba kwenye mabanda
yao huwa wanao wale green mamba.
Green Mamba huwa ni wadogo halafu hawana ukorofi kama Blacks haha. Kilatini anaitwa Mamba Negro.
 

Barb kama hii ndio iliyoyomuua Steve,ilimuingia kifuani ikaaenda kuutoboa moyo,na kutokana na umbali aliokuwa anafilm ilikuwa ni vigumu kuwahishwa Hospitali aliacha watoto wa wili wa kike na kiume.
 
Sasa huyu ana hatari gani mkuu
Ukimkanyaga anakuchoma kama mchoro unavyo onyesha



Ukikutana na yule mkubwa damage yake ni kubwa kama huyu dogo alivyodungwa na kwenye paja

Taa wako wa aina nyingi sio samaki wa kubeza ni hatari sana sana kuutoa mwiba mara nyingi inahitaji upasuaji
Huu mwiba "Barb" umeingia deep.
 
Ingia kwenye hii website utawakuta wote. Types of Snakes With Pictures: You Should Totally Bookmark This!
 
Hufi pale pale ila unaoza. Sumu yake haiendi kwenye ubongo kama black mamba au Cobra na hao wale wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…