Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani


Huyu Taa wa mtoni ni mkubwa,imebidi waufunge mwiba wake ili asijeruhi au kuua watu.
 
Niliwahi sikia utotoni kuwa huyu nyoka kama akivamia makazi ya watu walikuwa wakikata majani ya katani anarushiwa na anapoling'ata, jani la katani linakauka hapo hapo mpaka yafika kama 15 ndio wanaona jani linarudi bichi sasa hapo wanaanza mshambulia na wao na kumuua
 
Kwa mm ninavo fahamu koboko ni nyoka mwenye sumu Kali Sana na yeye huwa unauma kuazia kiunoni kwenda juu yaani sehemu ambazo huwezi funga kamba Wala kutiba kwa haraka ila Sasa hakuna nyoka mpole km koboko koboko anazuru pale tu anapo sumbuliwa na ndomana anapenda kukaa kwenye poli nene lisilo kuwa na kelele na akisikia kelele yeye hasira zake hupiga piga mita na Kung,ata ila Sasa ukimuona na ukatulia yeye hupita bila kukuzuru hao nyoka wapo sana kwenye msitu wa biharamulo kagera bukoba ukienda Hadi Congo Kuna siku nipo biharamulo mine maarufu km turawaka tukipita polini nilisika tu sauti yake akigonga gonga miti
 
Hata mm hii story nimeisikia sana
 
Hilo ndo tatizo letu sisi waafrika kuficja ficha mambo, wazungu wanaweka wazi ili na kizazi kijacho kinufaike
 
Kwa kweli kifo chake kililiza wengi sana wapenda wanyama
Hakuna alietegemea atakufa hivyo
Nilishtuka sana siku hiyo na nilipigiwa simu na jamaa wengi
Kazi yake bado waliiendeleza. Binti yake anajitahidi kujifunza. Huwa kwenye TV za Southern Asia anaonekana ila hajawa famous ila org. ya steve bado ipo hai inafanya kazi kunusuru na kulinda wanyama. Alifanya watu wengi tukawa na interest ya kuangalia wanyama. Nakumbuka alivyotemewa mate na Swila Is it Cobra? Alikuwa na bahati vijana wa kimasai walimsaidia maji akanawa haraka. He was a daring guy but it costed him his life. Kwa shujaa kilio kwa mwoga kicheko.
 
Kuna mti kama mkwaju anapenda sana kupumzika kwenye huo mti, na sasa msimu wa mantonga tayari, wawe makini sana
 
Nilimpenda sana kwa mbwembwe zake alikuwa anapenda kusema Crikey
Alianza bado mdogo sana akicheza na mijusi na aliipenda kazi yake
He was enjoying every bits
Watoto wake they must be very proud
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…