Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

2082811_beware-the-barb_jfxeaqbh63vorhnrwcs4oomcjs2ptt7hevj74cagwi5qbj2htjuq_757x567.jpg

Huyu Taa wa mtoni ni mkubwa,imebidi waufunge mwiba wake ili asijeruhi au kuua watu.
 
Niliwahi sikia utotoni kuwa huyu nyoka kama akivamia makazi ya watu walikuwa wakikata majani ya katani anarushiwa na anapoling'ata, jani la katani linakauka hapo hapo mpaka yafika kama 15 ndio wanaona jani linarudi bichi sasa hapo wanaanza mshambulia na wao na kumuua
 
Kwa mm ninavo fahamu koboko ni nyoka mwenye sumu Kali Sana na yeye huwa unauma kuazia kiunoni kwenda juu yaani sehemu ambazo huwezi funga kamba Wala kutiba kwa haraka ila Sasa hakuna nyoka mpole km koboko koboko anazuru pale tu anapo sumbuliwa na ndomana anapenda kukaa kwenye poli nene lisilo kuwa na kelele na akisikia kelele yeye hasira zake hupiga piga mita na Kung,ata ila Sasa ukimuona na ukatulia yeye hupita bila kukuzuru hao nyoka wapo sana kwenye msitu wa biharamulo kagera bukoba ukienda Hadi Congo Kuna siku nipo biharamulo mine maarufu km turawaka tukipita polini nilisika tu sauti yake akigonga gonga miti
 
Niliwahi sikia utotoni kuwa huyu nyoka kama akivamia makazi ya watu walikuwa wakikata majani ya katani anarushiwa na anapoling'ata, jani la katani linakauka hapo hapo mpaka yafika kama 15 ndio wanaona jani linarudi bichi sasa hapo wanaanza mshambulia na wao na kumuua
Hata mm hii story nimeisikia sana
 
Mkuu hakuna tiba ya nyoka huyo. Ukigongwa na koboko huwei hatachukua dakika 40. Unakufa umebadilika rangi. Nyoka huyu anaogopwa mno kwani, wazee wenye utaalamu wa kumtibu mtu aliyegogwa hawapatikani katika maeneo mengi. Mimi niliwahi kusimuliwa na mzee mmoja ambaye alikuwa anajua dawa hiyo, na alisema ni majani fulani porini, lakini aligoma kuniambia kabisa,
Hilo ndo tatizo letu sisi waafrika kuficja ficha mambo, wazungu wanaweka wazi ili na kizazi kijacho kinufaike
 
Kwa kweli kifo chake kililiza wengi sana wapenda wanyama
Hakuna alietegemea atakufa hivyo
Nilishtuka sana siku hiyo na nilipigiwa simu na jamaa wengi
Kazi yake bado waliiendeleza. Binti yake anajitahidi kujifunza. Huwa kwenye TV za Southern Asia anaonekana ila hajawa famous ila org. ya steve bado ipo hai inafanya kazi kunusuru na kulinda wanyama. Alifanya watu wengi tukawa na interest ya kuangalia wanyama. Nakumbuka alivyotemewa mate na Swila Is it Cobra? Alikuwa na bahati vijana wa kimasai walimsaidia maji akanawa haraka. He was a daring guy but it costed him his life. Kwa shujaa kilio kwa mwoga kicheko.
 
Huu uzi umeniogopesha sana,ila naweza kukubaliana
na wale wanaosema huyu nyoka ni hatari lakini ni mpole
pale ambapo hajachokozwa au kujihisi hayupo salama.
sababu moja hii.
Mdogo wangu anaishi tabora na huwa anatabia ya kwenda
kwenye sehemu za pori,siku moja akaenda na rafiki yake
kupunga upepo maeneo hayo aliyozoea kwenda.
wakiwa maeneo hao wakasikia sauti ambayo mdogo wangu
anasema huwa anaisikia mara kwa mara akiendaga ila
huwa anaipotezea kwani hiyo sauti ni kawaida kuisikia
kijijini kwetu kila siku usiku,na tuliaminishwa kuwa
ni sauti ya wanyama wadogo wanaokulaga ndizi,yule rafiki yake
akamwambia tuondoke haraka maeneo haya,hiyo ni sauti
ya koboko.Akakubali wakaondoka mara moja.

Aliponijulisha habari hii nikagoogle ili nione
tabia za nyoka huyo hatari nikagundua anapenda
kukaa kwenye misitu yenye giza na ni nadra sana
kumuona kama hajapenda kujitokeza umuone.
Nikakumbuka kuna kimsitu jirani na nyumbani
kwetu,ni kidogo ila kina kigiza fulani hivi hata mchana
na sisi tulikuwa tunapenda sana kwenda humo
kutafuta kuni na matunda pori,ila hatujawahi
kumuona wala kufukuzwa japo usiku lazima
tusikie sauti hizo zikitokea humo msituni.

Ninapoendelea kusoma habari hizi
natamani niwajulishe ndugu zangu kule
nyumbani wasiwe wanaenda humo msituni
maana huwezi kujua ni lini huyu mdudu
anaweza kubadirisha utaratibu wa maisha.
japo ni miaka mingi tunaishi pale kwa amani.
Ni miaka ya nyuma sana ndo baba mmoja
aliumwa na nyoka wa aina hiyo alimrukia
kutokea kwenye mti na hakupona
ila mazingira ya mbali na hicho kimsitu.
Kuna mti kama mkwaju anapenda sana kupumzika kwenye huo mti, na sasa msimu wa mantonga tayari, wawe makini sana
 
Kazi yake bado waliiendeleza. Binti yake anajitahidi kujifunza. Huwa kwenye TV za Southern Asia anaonekana ila hajawa famous ila org. ya steve bado ipo hai inafanya kazi kunusuru na kulinda wanyama. Alifanya watu wengi tukawa na interest ya kuangalia wanyama. Nakumbuka alivyotemewa mate na Swila Is it Cobra? Alikuwa na bahati vijana wa kimasai walimsaidia maji akanawa haraka. He was a daring guy but it costed him his life. Kwa shujaa kilio kwa mwoga kicheko.
Nilimpenda sana kwa mbwembwe zake alikuwa anapenda kusema Crikey
Alianza bado mdogo sana akicheza na mijusi na aliipenda kazi yake
He was enjoying every bits
Watoto wake they must be very proud
 
Back
Top Bottom