Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Kuna ile iliyokaa kama mkaa, ukitaka kujua kama ni real unaiweka kwenye ulimi, inaganda kama sumaku, mpaka uigandue
Lile aina fulani ya jiwe, na likitumika likiisha nguvu, linachemsha, lichaji tena.
 
Mm nilipona na sina ulemavu niliumwa shuleni igunga. Sema niliwaishwa nkinga dokta wa shuleni akipomuona nyoka akasema huyu akilala hapa kesho hamumkuti hai
 
Unene sio km nguzo huyo ni chatu. Koboko kawaida ni mita 12 mkp 14 aliekomaa. Ukipigwa bite nikusubiri kufa tu baada ya 20 mpk 30
 
Ila nilicho confirm kwenye pitapita yangu ni kwamba koboko/black mamba is most fastest snake in the planet of earth
Yaah hujakosea ni the most longest, fastest and deadliest animal in africa
 
Unajua kilichowashangaza watu ni kuwa huyu nyoka ni wakufugwa na huwa wanajua saa ngapi ana njaa ndio wanamuwekea msosi kwa mshangao wao badala ya kumla akamfanya rafiki ilibidi baadae wautoe msosi huo wakauleta mwingine ukaliwa.
Una fix kweli
 
Halafu unakuta kuna watu wana amini kuwa koboko anagonga kichwa tu na sio kwingine.
Ndio maana ukawasikia wanasema tembea na chungu cha uji wa moto
Sasa kwa siku hizi naona wangejiongeza tu wavae helmets kila saa
Helmet haitamdhuru na lengo ni nae adhurike
 
Wakuu lile jiwe la kutolea sumu vipi?

Yalikuwa yanatengenezewa wapi?
Ni madini gani yale?
 
Wakuu lile jiwe la kutolea sumu vipi?

Yalikuwa yanatengenezewa wapi?
Ni madini gani yale?
Hakuna ushahidi wa kisayansi unao onyesha kuwa huwa linanyonya sumu,sumu ikishaingia kwenye damu inachanganyika na damu,ili uinyonye itabidi unyonye damu.
 
Komando
 
UPUMBAVU WA WATU NI HUU
YAANI INAONEKANA KOBOKO NDIO BABA LAO DUNIANI KOTE SASA HAKUNA LA ZAIDI
MIMI BORA NIKUTANE NA KOBOKO KULIKO POLISI FULANI WA MITAA FULANI

UKITAKA KUAMINI KAULI YANGU UTAISHIA KUSIKIA MASIMULIZI TU LAKINI KUJA KUPATA WATU WALIOULIWA NA KOBOKO BASI YAWEZA KUWA NI WATU WAIWIL AU MMOJA NAO UNASIMULIWA TU HATA MAKABULI YAO HAYAPO.

AMBAO WANAELIMU ZA NYOKA NAIMANI KABISA HAKUNA NYOKA AMBAYE NI TISHIO
MFANO KWA FACT(Nyuki ni hatari sana kama usipomjua alivyo lakini tunaowajua nyuki unalina asali hata pasipo moto na mchana wa jua kali kabisa)

Uzembe mkubwa tulionao nikujazana hofu namna hii ndio maana tunakufa sana kwa vitu vidogo ambavyo kiuhalisia hakuna hata ambavyo ungeweza kupona
ila ushakalili koboko hatari hatari hatari Pumbaaaaaaafu.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

huyo koboko bora nikutane naye kuliko mfalme juha maana kinachokupata ha ha ha ha aha ha mie simooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…